Panda Kapesi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 345
- 220
Duh! JF kweli ni encyclopedia!
Mkuu mi ni mtaalamu wa Kodi.Kubadilisha jina hakuna uhusiano wowote wa kukwepa kodi.Tax holiday ilishakufa tangu 2000.Kodi inatozwa kwa operations na mtaji wa kampuni na sio jina la kampuni.Hapo kinachobadilika ni uongozi wa hotel ambao wanakuja na jina lao.Mfano makampuni ya simu yanabadilisha majina na log zao ila kodi ni ile ile.Kama imeuzwa hapo kitakua na capital gaini yax
View attachment 34565
Sasa ni dhahiri Movenpick imeshauzwa kwa mmiliki mpya ambaye ni Aga Khan anayemiliki Hoteli za Serena
Hoteli hiyo ambayo tumeshuhudia ikiendeshwa kwa kupokezana kama mbio za vijiti ilianzishwa hapo mnamo mwaka 1995 ikiwa inamilikiwa na wafanyabiashara wa Kitanzania wakishirikiana na wafanyabiashara wa Ki-Russia ambapo waliunda kampuni wakaiita TANRUSS ikiwa ndio mmiliki wa jengo, lakini Hotel ikaitwa Sheraton, kwa sababu ilikuwa ikiendeshwa na menejimenti ya chain ya Sheraton........... Baada ya TUNRUSS kutoridhishwa na namna menejimenti ya Sheraton ilivyokuwa ikiendesha Hotel hiyo wakaitimua Kimafia na kuisimika menejimenti ya Legacy Hotel ya kule South Africa, lakini wakaamua kuweka Property name ili wasije wakapoteza Identity kama wakibadilisha menejimenti kwa mara nyingine. Kwa hiyo ikaitwa Royal Palm Hotel. na kuAnzia hapo Hotel ikajulikana kwa jina la Legacy Royal Palm Hotel. Baada ya miaka kadhaa TUNRUSS wakaamua kuuza mjengo kwa Mwana wa Mfalme wa Saudia Walid BinTalal kwa silimia 99 huku TANRUSS wakibakiwa na asilimia 1 ambapo umiliki ukahamia kwenye kampuni ya mwana huyo wa Mfalme iitwayo Kingdom Hotel Investment. Hotel ilikabidhiwa kwa menejimenti ya Movenpick ambapo mwana wa mfalme ana hisa zizokadiriwa kufikia asilimia 36 katika Chain ya Movenpick. Na sasa Mwana wa Mfalme ameamua kumuuzia Aga Khan ambapo sasa inaitwa Serena Royal Palm Hotel................
Bado kuna wingu zito kuhusiana na haki za wafanyakazi kulingana na tamko rasmi kutoka Movenpick Head Office, kwani hawajui hatma yao. Labda sasa wana sheria watusaidie kutuelimisha kama Wafanyakazi waliofanya kazi tangu Sheraton Mpaka sasa wanayo mafao yoyote au wataendelea na kazi wakiwa na mwajiri mpya bila kulipwa mafao yao?
ANGALIZO: Ikumbukwe kwamba Hotel ina miaka 16 sasa tangu ifunguliwe hapo mnamo mwaka 1995
Na hapa chini ndio tamko toka Movenpick makao makuu ..
Internal Announcement
July 27, 2011
Mövenpick Hotels & Resorts will no
longer manage Mövenpick Royal Palm
Hotel, Tanzania
Dear Colleagues,
We regret to announce that Mövenpick Hotels & Resorts will no longer manage
Mövenpick Royal Palm Hotel, Dar es Salaam Tanzania. We are currently
under negotiation with the ownership for the exact exit date.
KHI, the owning company of the hotel, has decided to sell the property to the
Serena Hotel Group that not only owns hotels but also operates them.
The hotel staff are currently employed by a subsidiary of KHI and will be
employed by the new owner after the sale of the property. We have been
assured that there will be no changes to the employment agreements. We are
also working with all parties involved to find an adequate solution for those
employees who are flexible and who want to stay with us.
We have been managing the hotel since 2005 and we regret to see this property
leaving our Africa portfolio. We would like to thank all the hotel employees for
their hard work and dedication over the past years, they have achieved great
results and were a key contributor to our region and Mövenpick Hotels &
Resorts, said Roger Kacou, Senior Vice President Africa.
On a positive note, we have already signed a property in Arusha, Tanzania and
we are continuously looking for potential management opportunities in the
African region.
Best Regards,
Roger Kacou
Senior Vice President - Africa
Serikali legelege..........
Hizo ndiyo pros na cons za International Business. Huna sababu kukomaa na li biashara ambalo unaona halikupi faida kwa hiyo ' kuna free entry na free exit. Ule mfumo wa 'Kichaga" wa kung'ang'ania kumiliki Toyota Stout mpaka urithishe wanao hauna nafasi kwenye globalised market.
jibu lake ni huingiliwa kinyume na maumbile
Kampuni ya Serena yanunua Mövenpick | Send to a friend |
Thursday, 24 November 2011 20:19 |
0digg Na Mwandishi Wetu Kampuni inayojishughulisha na Huduma za Hoteli na Utalii Afrika Mashariki (Tourism Promotion Services (TPS) ambayo pia inamiliki hoteli za Serena imenunua hoteli ya Mövenpick Royal Palm ya jijni Dar es Salaam. Kutokana na kununuliwa hoteli hiyo na TPS sasa itabadilishwa jina na kuwa Dar es salaam Serena Hotel kuanzia mwanzoni mwa mwezi ujao. Mövenpick Royal Palm Hotel ni hoteli yenye vyumba 230 na hadhi ya nyota tano. TPS (D) Limited ndiyo kampuni ya ununuzi inayomilikiwa na Aga Khan Fund for Economic Development (AKFED), TPS Eastern Africa Limited (TPSEAL), PDM (Holdings) Limited, PROPARCO and NORFUND . Mkurugenzi Mtendaji wa TPSEAL, Mahmud Jan Mohamed katika taarifa yake kwa vyombo vya habari alisema kufunguliwa kwa hoteli za Serena jijini Dar es Salaa ni utekelezaji wa mpango wa muda mrefu wa kufungua hoteli katika miji mikuu Afrika Mashariki, yaani "City Hotel Circuit" Alisema kutokana na kuwapo kwa hoteli tanzu za Serena, hoteli hii itafaidika na mtandao ulioenea Tanzania, Zanzibar, Kenya, Msumbiji, Rwanda na Uganda. " Lengo letu ni kupanua wigo wetu nchini na maeneo mengine. Hotel za Serena zinalenga kufikisha huduma bora kwa wateja wake, kutoa fursa za kazi za kuvutia kwa wafanyakazi wake," alisema Kwa sasa hoteli za Serena zina waajiriwa 3,400 kwa Afrika Mashariki.Jan Mohamed alisema Serena Hotels imepanuka kutoka vituo vinne mwanzoni mwa miaka ya 1970 hadi kufikia hoteli za kifahari za aina tofauti 25 zinazotoa huduma za kitalii katika nchi sita za Afrika. Alisema mbali na uwekezaji katika ukanda huu wa Afrika Mashariki, pia TPS ina vitega uchumi vitega uchumi 10 katika nchi za Afghanistan, Pakistan na Tajikistan. Serena Hotels zilianzishwa Tanzania mnamo mwaka 1996 zikianza na vituo 5 na kupanuka hadi 10 uwekezaji ukiwa Arusha, Ukanda wa Kaskazini wa Utalii, Ukanda wa Kusini wa Utalii na sasa Dar es salaam. |
Mkuu hapa inaongelewa Movenpick sio Kempenski.Kempinsi - waarabu wa Mafuta wametukimbia - Agha Kan - Serena anatuchukulia hio hoteli yetu
Kumbuka Kempinsi wana Hotel CHAD na ni kwanini wameondoka TZ; from Zanzibar, Arusha na Dar?
Ningewapendelea Kempinsi zaidi sababu nikitimbelea Arabuni na Far East Mahoteli yao ni Mazuri na huduma Safi
Hii ni kwasababu tuliwasema na Suit walizompa Rais wetu Mpendwa?
Mkuu, si fice years exemption. Ilikuwa ni five year tax holiday. Ni vitu viwili tofauti. Hiyo sheria ya five years tax holiday ilishareebishwa na hicho kipengele kilishaondolewa wakati masuala ya tax exemption yana taratibu zake
Mkuu mi ni mtaalamu wa Kodi.Kubadilisha jina hakuna uhusiano wowote wa kukwepa kodi.Tax holiday ilishakufa tangu 2000.Kodi inatozwa kwa operations na mtaji wa kampuni na sio jina la kampuni.Hapo kinachobadilika ni uongozi wa hotel ambao wanakuja na jina lao.Mfano makampuni ya simu yanabadilisha majina na log zao ila kodi ni ile ile.Kama imeuzwa hapo kitakua na capital gaini yax
Cheki huu mchakachuo utatamani kuwa rebel:Yale yale ya samaki wa Fukushima, watanzania tuamke rasilimali za nchi yetu zinachakachuliwa hivi hivi mchana kweupeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!