Separation VS new relationship is it right?

Je kisheria inakatazwa endapo mmetengana, wapi mwanasheria . Pili wapi nitapata mwanasheria anisaidie kushuhulikia divorce mwenye gharama nafuu maana nimeulizia gharama kwa mwanasheria fulani private yani ni hela ya kiwanja nikabaki mdomo wazi!
 
Subiria divorce. . .kwani mahusiano yanakimbia?
hataki maswali mwenzetu huyu

ulishakuwa na mahusiano nje ya ndoa?
hataki maswali anataka aambiwe ndio au hapana
unadhani kuwa separated kuna maanisha bado uko ndani ya ndoa (in terms of commitment)?
hapa unamchosha tu

Ingia kama umepata unayempenda. But ukishakuwa na uhakika nae, fanyeni public wakati huohuo nenda mahakani ku-file maomba ya divorce, kama kinga tu ili asijewabughudhi...
kama haya ndio muhimu kwake lakini hajui kuwa anahitaji maswali zaidi kueleweshwa

sidhani kama kuna ubaya.....
hapa ndio amefikishwa lakini mitazamo mingine ni muhimu pia bidada
 
kama umeshaamua kua wewe na ur soon to be ex husband ndio basi tena bora uendelee tu maisha yako na mtu mwingine kwa sababu divorce cases sometimes can take up to a year if not more...sasa kwa nini usubiri mwaka? je ukiwa umepangiwa kuishi miezi 6 tu?? just move on with your life, life is too short
 
Nadhani ukiingia deep kwenye kesi za Divorce (sina uhakika kivile lakini) kuna kigezo cha nani aliyeanza kusaliti ndoa ama nani kasaliti ndoa ambacho humpa upendeleo aliyetendwa pindi swala la mgawanyo wa mali linapokuja...Legally bado uko ndani ya ndoa so kuanza mahusiano ni kusaliti ndoa.
Tukiangalia upande mwingine kiatu ndio kimekubana sana na uchungu wake waujua wewe (Tunakubali).
Kama huamini in forgiving of sins basi hutoenda mbinguni kamwe...kwa sababu wewe sio mtakatifu sana na Mungu kakusamehe...Yani kwa kweli sisi tulalamike tunavyoweza but in the end of the day HAKUNA SABABU INAYOKUJUSTIFY USIMSAMEHE...(FYI: m not saying its easy to forgive)

SWALI : Uliulizwa, Unakubali kuishi naye kwenye shida na raha? Ukajibu Ndiooo!
Naomba unijuze tu, ni shida gani ulikuwa unamaanisha?
Ili na mimi nikiulizwa nijibu nikiwa najua kabisa ni shida gani huwa mnamaanisha.
 
U are actually raising a number of questions,any sensble man would.
u ssounded like ulitaka to end ndoa because u can manage kids n thts practically a problem with these "educated women" sikulaumu ila nathani noa inahitaji uvumilivu,nways sijui the source of the problem.
Strictly not the ryt time kuanzisha mahusiano mapya unless just for leisure or it was ur primary goal kuvunja ndoa yako
NI MAWAZO TU ambayo pia mumeo anaweza kufikiria na hatimaye anaweza kuwadhuru wew na my husband wako mpya
 
Dear mie ninadhani ungesubiria kwanza japo kuwe na muafaka kwenye ngazi ya familia maana bado ni mapema sana mpenzi. Isitoshe kwa muda huo wa miezi minane hata kisheria bado wahesabiwa kama mke wa mtu so unapoanza mahusiano mengine ilhali mumeo anaonyesha bado hayuko tayari kukuacha ni wazi unakaribisha mengine.
 
Nadhani ukiingia deep kwenye kesi za Divorce (sina uhakika kivile lakini) kuna kigezo cha nani aliyeanza kusaliti ndoa ama nani kasaliti ndoa ambacho humpa upendeleo aliyetendwa pindi swala la mgawanyo wa mali linapokuja...Legally bado uko ndani ya ndoa so kuanza mahusiano ni kusaliti ndoa.
Tukiangalia upande mwingine kiatu ndio kimekubana sana na uchungu wake waujua wewe (Tunakubali).
Kama huamini in forgiving of sins basi hutoenda mbinguni kamwe...kwa sababu wewe sio mtakatifu sana na Mungu kakusamehe...Yani kwa kweli sisi tulalamike tunavyoweza but in the end of the day HAKUNA SABABU INAYOKUJUSTIFY USIMSAMEHE...(FYI: m not saying its easy to forgive)

SWALI : Uliulizwa, Unakubali kuishi naye kwenye shida na raha? Ukajibu Ndiooo!
Naomba unijuze tu, ni shida gani ulikuwa unamaanisha?
Ili na mimi nikiulizwa nijibu nikiwa najua kabisa ni shida gani huwa mnamaanisha.

Hivi ukimsamehe mtu ni lazima kuishi pamoja kunahusika ehee???
 
Subiria divorce. . .kwani mahusiano yanakimbia?

Lizzy mamii umejibu vema ingawa wapo baadhi ya wanaume ni wakorofi anawezaamua tu kutokuitoa sasa kama ni mmama asiyejua sheria na haki zake anawezadoda. Mimi bado nasema miezi minane bado ni muda mfupi sana toka watengane na mumewe!
 
....."kiatu humbana mvaaji!".....
Muda gani vile ndio mnaona 'sasa mapenzi'
na uvumilivu ndio ruksa kwisha?

Hebu acheni maskhara jamani. Huyu mdada
Keshajiridhisha nafsi yake huyo mume hamfai.
Sheria za kiserikali ni miezi 24. sheria za ki Islam ni miezi minne na siku kumi.

Haipendezi kuonekana una mahusiano mengine kabla ya kuachana rasmi, ila kama waweza mfanye kwa 'siri'....maana hujatambuliwa kama 'mjane' mpaka upate karatasi yako. Jamii zetu za kibantu ni rahisi zaidi kumpa uhuru mwanaume afanye alitakalo kuliko mwanamke. Jilinde.

Pole sana.
 
mwanajamii1, miaka mingapi ndio sahihi kusubiri?:rant:
Yaani wewe hustahili viboko vya pilipili, Nyamayao njoo hapa unahitajia

Bi shosti,trust your guts. Ila take as much time as you want. Kama unajiskia uko tayari kwa mikiki mipya, kwa raha zako. Angalia usiwaumize wanao kwa kukuona na watu wapya kila siku. Ila wakati wa separation nahisi kama ni raha ile mbaya, hautegemei call wala sms wala lawama ya mtu. free in spirit and in body. uko teyari kwa stress mpya za hukupokea simu na hujanikumbuka?:A S embarassed:
 
Dada Ndeonasiae, binafs napata maswali mengi,alafu unapo leta hoja usiwe na jazba kisa watu wanakushauri kinyume na utakavyo
Nikija kwenye hoja yako,ningependa kujua tatizo la mgogoro kwanza ila kwakua hukutaka kuzungumzia mgogoro bali mapenzi mapy bas ngoja nizungumzie mapenzi mapya tu.
unaonekana hayo mapenzi mapya yamekunogea,yalikua ya siri sasa unataka kuhalalisha kifup yamekua matamu kuliko ya mzazi mwenzako.kaa ukijua ni lazima upate taraka kwanza then ndo uingie kwenye mahusiano mengne lakin pia ufahamu mahakama sinasita sana kutenganisha ndoa na sijui kwa nini,yaani kama mmoja hataki na hata kama anamakosa akayakubali na kuomba radh,mahakama itamjar na hairuhusu taraka.kama wewe ndio unarazimisha hvyo nakushaur ujipange sana.
 
Last edited by a moderator:
mwanajamii1, miaka mingapi ndio sahihi kusubiri?:rant:
Yaani wewe hustahili viboko vya pilipili, Nyamayao njoo hapa unahitajia

Bi shosti,trust your guts. Ila take as much time as you want. Kama unajiskia uko tayari kwa mikiki mipya, kwa raha zako. Ila wakati wa separation nahisi kama ni raha ile mbaya, hautegemei call wala sms wala lawama ya mtu. free in spirit and in body. uko teyari kwa stress mpya za hukupokea simu na hujanikumbuka?:A S embarassed:

Kin g'ast mbona unapenda kunionea jamani loh mwaka huu ntakula viboko mie hadi nikomae. Mamii kisheria (ya kiserikali ) kama sikosei wanasema ndoa huachwa kudefiniwa kama ndoa halali ikiwa wanandoa wameishi kwa kipindi cha miaka 2 mfululizo bila kuwa under one roof kutokana na kutokuelewana. Yaani kama Baba au Mama yoyoo mmetengana kwa miaka 2 na kuwa ndani ya hiyo miaka miwili efforts za kuwapatanisha zimefanyika zikashindikana!
 
Ni miezi kama nane tumeseparate na my hubby, na with that time nimejithibitishia I dont want to go back kabisa. Divorce processes are on (nikimaanisha tumeanza kulizungumzia kama familia za pande mbili bado haijafika mahakamani) japo kuna mvutano mkubwa jamaa hataki kabisa kuvunja hii ndoa (ambayo mimi najua imevunjika ila bado mambo ya kisheria tu). Im in my early 30s, Tuna watoto 2 naishi nao na kuwatunza kwa kila kitu they are fine and I dont have problem with that.

Ushauri:
1.Nikiwa kama binadamu wa kawaida honestly najisikia kama kuingia kwenye mahusiano tena, naomba mnisaidie muongozo wanaJF, Is it right to get into the relationship during separation? if yes to what level, kisirisiri au hata public? je ni upi muda muafaka (eg mwaka 1 au 2 au never) hasa unaoshauriwa kwa walioachana kuwa na relationship nyingine?

Dada piga moyo konde urudiane na mumeo, hali ya street ni mbaya sana. Watakuja na mbwembwe nyingi za kukupenda na kukuhudumia; mind you they will never be him. Ila ukitaka upate experience na exposure kwenye stress, welcome to the world!
 
....."kiatu humbana mvaaji!".....
Muda gani vile ndio mnaona 'sasa mapenzi'
na uvumilivu ndio ruksa kwisha?

Hebu acheni maskhara jamani. Huyu mdada
Keshajiridhisha nafsi yake huyo mume hamfai.
Sheria za kiserikali ni miezi 24. sheria za ki Islam ni miezi minne na siku kumi.

Haipendezi kuonekana una mahusiano mengine kabla ya kuachana rasmi, ila kama waweza mfanye kwa 'siri'....maana hujatambuliwa kama 'mjane' mpaka upate karatasi yako. Jamii zetu za kibantu ni rahisi zaidi kumpa uhuru mwanaume afanye alitakalo kuliko mwanamke. Jilinde.

Pole sana.

Hii ni alternative Soulmate. Uko sahihi inategemea ni ndoa ya wapi walikofungia but kama ndo serikalini basi 'aibe' hadi miaka 2 ipite!
 
Kin g'ast mbona unapenda kunionea jamani loh mwaka huu ntakula viboko mie hadi nikomae. Mamii kisheria (ya kiserikali ) kama sikosei wanasema ndoa huachwa kudefiniwa kama ndoa halali ikiwa wanandoa wameishi kwa kipindi cha miaka 2 mfululizo bila kuwa under one roof kutokana na kutokuelewana. Yaani kama Baba au Mama yoyoo mmetengana kwa miaka 2 na kuwa ndani ya hiyo miaka miwili efforts za kuwapatanisha zimefanyika zikashindikana!
MwanajamiiOne hiyo inaweza kuwa ni sababu mojawapo ya kutaka kuvunja ndoa lakini sio kuwa ndo imevunjika. Kunahitajika divorce order ya mahakama ku-annul hiyo ndoa.
 
Last edited by a moderator:
Je kisheria inakatazwa endapo mmetengana, wapi mwanasheria . Pili wapi nitapata mwanasheria anisaidie kushuhulikia divorce mwenye gharama nafuu maana nimeulizia gharama kwa mwanasheria fulani private yani ni hela ya kiwanja nikabaki mdomo wazi!

Maswali kama haya ingekuwa bora kama ungeyapeleka kwenye jukwaa la sheria. Kuanza uhusiano mpya kabla ya kutengenga kisheria inaweza kuleta matatizo kulingana na sababu za kutaka kuvunja ndoa. Assume kama sababu ya kuvunjika kwa ndoa ni adultery halafu unaenda kuanzisha mahusiano mapya hata kabla divorce process haijamalizika.
 
Hivi ukimsamehe mtu ni lazima kuishi pamoja kunahusika ehee???

@Kbd, mimi bado cjajibiwa...mtu unapoahidi kuishi na mwenzio kwenye shida na raha ni shida zipi ndo humaanishwa? Naogopa nisijekushauri nikawa acomplise ulizingatia imeandikwa 'Alichokiunganisha Mungu binadamu asikitenganishe'.

Pili, sasa kama umemsamehe na kusahahu ni kwanini asiwe mumeo bado?
 
Back
Top Bottom