sensa Temeke na kwingineko majina hadharani

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
402
169
kuna tetesi majina yanabandikwa leo j3 na interview kufanyika leo lengo kupunguza idadi ya watu. ANGALIZO FATILIENI SANA LEO OFISI ZA KATA.
 
ndio naelekea kata nikiyakuta tawafahamisha. Hata huku taarifa ni kama zako
 
Kata ya Charambe wamebandika leo. Pale uwanja wa taifa wamebandika ila sijui kata gani na ni karibu na ofisi ya mkuu wa wilaya
 
zoezi la kubandika linaendelea ila jamaa yangu usipime maana mh!? Ukiona jina lako labda una undugu na afisa mtendaji wa kata
 
Back
Top Bottom