Senegal recognizes Libyan rebels!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
Senegal recognizes the TNC in Benghazi as the legitimate opposition

newsresizedetails.asp
Senegalese President Abdoulaye Wade…has recognised the Libyan rebels

21 May 2011 - Senegal's President Abdoulaye Wade has recognised Libya's Benghazi-based rebels as the legitimate opposition and said they should be given international support to lead the country's transition to democratic elections.

Senegal's position, made known after a visit by officials of the rebel delegation National Transitional Council, appears to go further than that of the African Union, which has urged a ceasefire but not gone as far as recognising the rebels.

In a Presidency statement Senegal said: "President Wade declared that he recognised ... Mustafa Abdel Jalil and the political forces he represents as the established and legitimate opposition, whose natural role - with African and international support - is to prepare republican institutions in Libya via democratic, free and transparent elections."

Senegal, whose President sees himself as an elder statesmane and long sought to mediate in the African continent's crises, reaffirmed its position that the process of removing Muammar Al Qathafi from power was "irreversible".

-The Tripoli Post
 
Njaa mbaya sana Afrika hii inatia aibu sana mbona haitambui LRA?!! wade anafukuzia hela tu kutoka US
 
Senegal bado ni 'koloni' la Ufaransa. Hawakohoi mpaka Paris waseme ndiyo. Hata sasa hivi ukitaka kwenda Senegal unapata visa kutoka ubalozi wa Ufaransa!
 
Africa bado hatujapata Uhuru. Just walichange style ya kututawala. wazee wetu waliomwaga damu kwa kumtimua mzungu wangeona sasa hivi tunavyowakumbatia wangelia machozi ya damu.Kwa uhakika inasikitisha kwa Africa.
 
Kwani mna uwezo wa kujiendesha wenyewe bila kusaidiwa na wazungu?Bila kutembeza bakuli,bajeti hazisimami.Unafikiri mtakuwa na uwezo wa kufanya fyoko kwa hao wajomba zenu?
 
Kumbe rais wa Senegal naye ni kibaraka wa nchi za magharibi? hivi kweli afrika kwa mwendo huu tutafika kweli? Kutumia siraha kupambana na serikali iliyopo madarakani ni demokrasia? Hivi hayo yanayotokea libya yakitokea kwake ataita hiyo ni demokrasia na atakuwa tayari kuachia madaraka? Ni kiongozi gani katika afrika ambaye ameweza kutumia raslimali za nchi yake kwa manufaa ya nchi na watu wake kama sio ghadafi? tuacheni unafiki afrika, demokrasia gani wakati watu wanakufa kwa njaa na magonjwa kutokana na umaskini? si bora gadafi kukaa kwake muda mrefu madarakani kwa faida?
 
Back
Top Bottom