kijenge
Senior Member
- Mar 9, 2012
- 179
- 164
Wamasai waliokwenda kuchuliwa jana na sendeka, na kuwapeleka kwa lowasa ili wawarubuni. wamkane nasary kuwa hawakumpa uongozi wa kimila kwa vijana wakimasai. ilikwama baada vijana hao wapatao 60 kukata kukutanishwa na waandishi wa habari au kupandishwa jukwani kumkana nasary.wamasai hao wamedai wao sio waswahili wenye vigeuvigeu kama sendeka.sendeka anaendelea na mpango wake wa kusaka masai wengine wenye njaa watakao mkubalia mpango wake .wamesema nasary ndiyo kiongozi wao na hawajampa kwa kununua uongozi kama regnald mengi aliyechinja ng'ombe 50 nani mchagga,au lowassa mmeru na amepewa ulyagwanan kwa kuchinja ng'ombe 50.huyu kijana hajatoa kitu tumempa kwa uweso wake.