Semina elekezi.

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Zile semina elekezi za mzee Mkubwa zilizokuwa zinafanyikia Ngurudoto zimeyeyukia wapi?
 
Zilihamia St.gaspa Dodoma......kuna task force iliundwa ikiwa chini ya katibu kiongozi Luhanjo yote hayo ni business as usual.
 
Siyo tu semina elekezi hebu mwenye taarifa ni lini tena bwana mkubwa atatembelea wizara, maana nacheka sana hivi unawezaje kutembelea wizara na idara ikiwa una vikao vya baraza la mawaziri na wewe ni mwenyekiti? Kweli huyu jamaa anapenda ziara.
 
Tena cha kuchekesha anatoa maelekezo ambayo hayatekelezwi. Mh! rais wa ajabu kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom