Sema chochote kuhusu Middle East

Wanapendana kuliko watu wote duniani,hawa wayahudi,wanaongoza mataifa yote makubwa kutokea israeli,ufaransa,ujerumani,uingereza,markani n.k top secret za mataifa hayo ni za kwao kutokea middle east Israel.
china ni Taifa dogo.....!!!

mi huwa sielewi justification zenu za kutaka kuonyesha kuwa wayahudi wanamiliki akili na uwezo mkubwa kushinda mtu yeyote
 
Nini siri ya Dubai kuendelea kiasi hicho ?
Walipata kiongozi ambae aliiongoza serikali kujenga mji wa kitalii utaoongeza vyanzo vya mapato tofauti na kutegemea mafuta tu kaa nchi nyingine za kiarabu!! Ndo kwenye yale magorofa ma3
 
Ubaguzi wao uko vipi Mkuu? Mimi nimeishi jirani na waalabu sijapata kuona watu wema kama waarabu,tumeishinao karne na karne hapa lkn sijaona chochote kibaya kutoka kwao..ni watu wenye imani na huruma zaidi kuliko mataifa yote unayoyajua, hakuna cha wazungu wala waislaeli wanaotuulia waafrika wenzetu, tatizo letu wabongo tunawashobokea mno watu hawa bila kujua wanatuchukia kias gani.myahudi ni ****** hafai hata kidogo.

Mimi kama mtanzania napinga sana ubaguzi jamani. Hebu watanzania wenzangu tuishi kwa amani na upendo na tuache racism, ni hayo tu mkuu

Muulize yule mbunge aliyekuwa anajifanya wakala wa kuwatafutia kazi uarabuni mabinti zetu,sasa hivi mabinti zetu wamewaharibu kwa tabia zao mbaya na wengine wamedhurumiwa haki zao huko,wewe waarabu noma sana si watu hao
 
Yaani hao jamaa mkiwashirikiria watu wao hata 3 tu haijarishi wana makosa au hawana, baasi taifa zima mtapata shida.
wanapendana hatari na hakuna taifa ambalo linawajari watu wake kma lile kuanzia wafungwa.
Tatizo moja ni wabaguzi hakuna mfano

Hivi kuandika hivyo mwenyewe unajiona upo sahihi kabisa? Ndivyo ulivyofundishwa kuandika hivyo na walimu wako? Au ni ujinga wa asili?
 
Middle east is middle east what's happen in middle east stays in middle east but there some part of middle east is the best place to be like Jordan kuna caves na tourist attraction zakuvutia plus the food mmmmmmh!! It's delicious you have to go there guys really you will enjoy it
 
Muulize yule mbunge aliyekuwa anajifanya wakala wa kuwatafutia kazi uarabuni mabinti zetu,sasa hivi mabinti zetu wamewaharibu kwa tabia zao mbaya na wengine wamedhurumiwa haki zao huko,wewe waarabu noma sana si watu hao

= wamedhulumiwa

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Kwanini tuwaongelee hao? hawana maslahi yoyote kwetu. Ebu tuongelee jinsi tutakavyowafikia kwenye technoligia yao. Kujenga uzalendo, kushirikiana, kuwapa wanafunzi wetu hasa wa sayansi uwezo wa kuvumbua vitu vingi. Viongozi wetu wawe na sera kama za mao za kuwafanya wasiwe na mawazo mgando kuwa mpaka mzungu au muisrael tu ndo anaweza. Amkeni hacheni fikra za kuwarudisha nyuma. Mungu aliumba binadamu wote sawa.....
 
Kwa maana hiyo unataka Tanzania iwe kisiwa???Usawa gani wewe unaouzungumzia????Huwezi na fikra kama za mao from no where,lazima iwepo starting-Point ambayo ni kupata teckinolojia toka kwa wenye nazo toka nchi zilizoendelea kwenye viwanda,kilimo na mambo mengine mhimu kwa taifa letu.Tanzania haiwezi kuendelea kama tutajizungushia ukuta tuwe kama kisiwa,Thanks God sisi hatuko hivyo tumefungua milango kwa yeyote ambaye anaweza kuja kuwekeza hapa kwa maslahi ya taifa letu,bila kujali chuki za wenye chuki nasi.
 
Ni vyema ukaahirisha uko uturuki kwa sasa si salama
1469278884568.jpg
 
Kuna mtu mmoja humu anawasifia waarabu eti ni watu wakarimu na wameshika dini loh ni nani hapa kwetu anayetamani kufanyia kazi uarabuni badala ya ulaya?yote ni sababu waarabu pengine ndo wanadamu makatili kuli yeyote hapa duniani hata kama wazungu wana udhaifu wao lakini sio kama hawa waarabu
 
Muulize yule mbunge aliyekuwa anajifanya wakala wa kuwatafutia kazi uarabuni mabinti zetu,sasa hivi mabinti zetu wamewaharibu kwa tabia zao mbaya na wengine wamedhurumiwa haki zao huko,wewe waarabu noma sana si watu hao
Brutal race ever
 
Middle east is middle east what's happen in middle east stays in middle east but there some part of middle east is the best place to be like Jordan kuna caves na tourist attraction zakuvutia plus the food mmmmmmh!! It's delicious you have to go there guys really you will enjoy it
One area being a good area doesn't make middle East safe to be
 
Back
Top Bottom