Sekta binafsi na unyanyasaji,case Study MOHAMED TRANS

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Dereva wa mohamed trans James Philip amesema amekatwa Posho ya sh elfu 50.000 kisa mafuta ambayo yamewekwa yamekuwa Pungufu,dereva aliyetoa taarifa amesema kuna mahali walikwama na ndo maana yameisha fast.
Sos i.t.v
 
mkuu unapopata habari hakikisha unapata full info,nashindwa kuchangia coz habari iko shalo.NI kiasi gani cha mafuta yamepungua?then huko kukwama alitumia muda gani ili tukokotoe fuel consumption accordingly to time taken for that much acceleration
 
Ni kweli kabisa ungejua janja ya madereva usingeleta hii habari bila kupata au kufanya research ya kutosha toka kwa wadau.
 
hii kitu kwa sekta binafsi mbona kawaida tu na watanzania wengi huwa hawalalamiki/kushtaki popote na nidhamu yetu ya woga? mimi nimeshawahi kuambiwa na jamaa yangu1 kuwa kazini kwao ikatokea umechelewa kidogo tu na bosi akapigia mstari daftari la kusaini, basi una reduction ya 30,000/= na kama ukishindwa fika kazini iwe kwa ruhusa au wewe mwenyewe ujipe likizo basi ujue 45,000/= haipo! ni kampuni kubwa sana tu na ina jina hapa Dar.mdau mwenyewe ni member humu ndani labda atakuja na experience yake.:help:
 
Back
Top Bottom