Sekretarieti ni tatizo!

themahewa

Member
Apr 29, 2010
14
3
nakumbuka walitangaza nafasi 34 kwenye post flani, walio fanya mtiani na kuwa selected ni 14?hawa jamaa wazima?
 
nakumbuka walitangaza nafasi 34 kwenye post flani, walio fanya mtiani na kuwa selected ni 14?hawa jamaa wazima?

Join Date : 30th April 2010
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0

Du wewe kweli mzima, umejiunga April 2010 umesubiri kupost post yako ya kwanza leo?
 
huyu anaelekea hupo kwenye halmashauri! hahuna mtandao ndo maana anashindwa kupost
alafu thread yako haileweki! sasa situsaidiaje?
 
Back
Top Bottom