Sekondari ya Rugambwa yaungua tena,Ni mara ya 3

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Shule hiyo kongwe ya wasichana iliyoko Bukoba imeungua tena usiku wa kuamkia leo

chanzo ni mfumo wa umeme kuwa wa zamani

wanafunzi 7 wameungua vibaya wamelazwa hospitali ya mkoa Kagera

hii ni mara ya tatu kuungua kwa kipindi kisichozidi miezi sita

wenye watoto shuleni hapo CHUKUA ATUA

Chanzo:Radio Free Africa
 
Back
Top Bottom