Scottish independence

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,409
9,183
Hatimaye serikali Scotland inayoongozwa na chama cha SNP imetangaza kuandaa independence referundum 2014 ambayo itapelekea scotland kujitoa katika muungano na England. Prime Minister Cameroon apandisha jazba na kuonya scotland hawana mamlaka ya kuandaa kura ya maoni,lazima wapate baraka za Westminister. Ajibiwa we want a referundum built and made in Scotland si venginevo! Source BBC. Kwa taarifa zaidi google bbc news Q &A scottish independence.
 
Back
Top Bottom