Scientists crack 20-year Aids puzzle that could revolutionise latest HIV medicines.

aah nilikuwa sijaiona hii kitu.ok labda mimi sielewi hapa.hizi integrase inhibitors zilizopo sasa zenyewe do they partially block the integrase?If so wakinambia wanataka kuzi improve after knowing the 3d structure of integrase labda nitaelewa.Sasa kama zina block vizuri watazi improve vipi tena ili ziwasaidie wagonjwa more than what they do now,i mean ziwaponye?Wataongeza nini sasa potency,efficacy au?Kwahiyo haitatibu kabisa ila itaendelea kupunguza makali ya virusi kwa kiwango cha juu,au?
Labda aliyeelewa vizuri anifahamishe halafu tuuanzie hapo huu mjadala
 
Wabongo kwenye topics muhimu kama hizi huwapati, ungeweka Jerry Muro au Kova au Kikwete au ufisadi kwenye kichwa aaaah, wangejazana hapa kama nzi kwenye soko la samaki.

Ahsante sana, natumai tutapata dawa au chanjo katika miaka michache ijayo.

Wewe hapo umechangia nini constructive????? si ni sawa sawa na sisi uliotusema?????
 
Pamoja na jitihada zote hizo swali ninalojiuliza itakuwaje siku hiyo wakitangaza kuwa dawa ya HIV/AIDS imepatikana? Sipati picha...hebu niwazueni wana JF...
Dawa ikipatikana usipapatike mara moja kujiachia. Kwanza haitatatolewa bure mpaka watengenezaji watakapokuwa wame-recover investment yao. Kwa hiyo kwa sisi nchi masikini itatuchukua miaka mitano mpaka kumi toka kugunduliwa kuweza kuzinnunua kwa bei tunayoweza kumudu. Dawa za kupoza tunazotumia huku sasa hivi huko kwao wameishaziacha kwa sababu ziko mpya bora zaidi. Lakini kwetu hazijafika.
 
Tuwakazanie watoto wetu wajitahidi katika masomo ya sayansi.....!
Ambayo watakuja kufanya makubwa, nasi pia tuweke msisitizo katika tafiti zetu.....tuwaheshimu watafiti na tuwape privileges ambazo kuwa itakuwa ni motisha ya kuendelea kuchapa kazi kwa moyo mkunjufu
nyumba,usafiri,posho,kujiendeleza n.k
 
watafiti wetu wengi na maprofessa wanakimbilia siasa tu sasa. Hakika politics ndiyo obstacle kubwa bongo.
 
Pamoja na jitihada zote hizo swali ninalojiuliza itakuwaje siku hiyo wakitangaza kuwa dawa ya HIV/AIDS imepatikana? Sipati picha...hebu niwazueni wana JF...

Foleni za kupata dawa zitakuwa ndefu kama foleni za kwenye ATM za NMB au foleni za kupata unga wa yanga na dengu kipindi cha uhujumu uchumi
 
Kuna uvumi uliokuwa unavumishwa miaka ya nyuma kuwa HIV was man-made vitus created in US millitary lab in a move to own a Biological lethal weapon to boast their superiority against potential rivals in defence technology in the modern war-fare....whats the updates!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom