SAUZI: Kama una marasta tafuta bouncer....

Wizi wa nywele za aina ya marasta umechachamaa sana Sauzi na wezi wakikukuta wanakutia chini ya ulinzi na wanatembea na mkasi na kukunyoa bila ya ridhaa yako kisha hutoweka kusikojulikana...

Kutokana na kupanda kwa bei za kusukwa marasta bandia kwenye masaluni basi wezi nao wamegundua hilo soko na kuwaweka wenye marasta kwenye njia panda..........

Wanaokwenda kwenye masaluni hutaka wasukwe ila hawataki kuzilea hizo nywele kwa madai huchukua siku nyingi na kazi kubwa.............yaweza kuchukua hata miaka zaidi ya kumi kuwa na marasta mengi.........

Kwa khabari zaidi jisomee.............usije ukazipoteza zako na hata yule mlengwa akaingia mitini...lol

The South African hair thieves targeting dreadlocks

Nadhani kwa mtindo huu chawa na mba zitaenea SA nzima!
 
Mie nimezifuga kwapani na huku chini kwa hiyo hawataziona..............................!
 
nasuka mdomo wa kuku,twende kilioni,kilimanjaro upande mambo burdani hawatanipata ng'ooo!
 
Mbona hata hapa ukienda saloon kama zako fupi unanunua na kuunganishiwa kwenye ncha ya nywere,
 
Wizi wa nywele za aina ya marasta umechachamaa sana Sauzi na wezi wakikukuta wanakutia chini ya ulinzi na wanatembea na mkasi na kukunyoa bila ya ridhaa yako kisha hutoweka kusikojulikana...

Kutokana na kupanda kwa bei za kusukwa marasta bandia kwenye masaluni basi wezi nao wamegundua hilo soko na kuwaweka wenye marasta kwenye njia panda..........

Wanaokwenda kwenye masaluni hutaka wasukwe ila hawataki kuzilea hizo nywele kwa madai huchukua siku nyingi na kazi kubwa.............yaweza kuchukua hata miaka zaidi ya kumi kuwa na marasta mengi.........

Kwa khabari zaidi jisomee.............usije ukazipoteza zako na hata yule mlengwa akaingia mitini...lol

The South African hair thieves targeting dreadlocks
Ni kweli kaka yangu alikuwa na rasta "roots" baade akakata akanipa mimi nikazipanda zikakua sana baadae nikamrudishia rasta zake.Ki ukweli rasta unaweza kushare na mtu yoyote,nadhani ilo ndio tatizo linatokea S.A.
Ila mpaka kufika hatua ya ya kuwindana basi hiyo imefikia hatua mbaya!!!
 
Back
Top Bottom