Sauti za Milipuko!

The Pen

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
755
256
Jamani, sauti km za milipuko zilizokuwa zikisikika hivi punde ni za nini?
 
Uwe wazi ndugu, ni wapi huko kuliko na mlipuko maana si kila mwana JF anasikia kama unavyosikia wewe. WanaJF wametapakaa kila kona ya ulimwengu huu.
 
Ilisikika milipuko, sijui ni ya nini, ndio maana nikauliza. Ilifululiza kwa sekunde chache, maeneo ya kati ya jiji.
 
Hata mimi nilikuwa Muhimbili nikasikia,niliingiwa na wasiwasi mabomu yameanza tena.
 
Ni maziko ya Major General Somebody aliye kuwa anazikwa makaburi ya Kiislamu Kisutu mchana/ jioni hii.
Hupigiwa mizinga 21- controlled.

Nimeongozana na malori matatu ya jeshi jioni hii yakiwavuta Mizinga hiyo along Alli Hassan Road.
 
ni maziko ya Retired mkuu wa jeshi la anga Meja Jeneral Mwakitosi yaliyo fanyika katika makabuli ya kisutu, tusikimbizane wandugu.
 
Back
Top Bottom