Sauti ya uma= nyundo ya utosi kwa wenye dhambi kisiasa!

MARCKO

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
2,258
274
Nakumbuka kwenye ufunguzi wa tawi la CDM mabibo hostel, 'uma' ulipiga kelele -'shibudaaa, shibudaaa*etc' ili viongozi waamue moja kuhusu huyu jamaa. kimandolu na NMC ungalimited Arusha maranyingi tangu mwanzo watu mkutanoni wanapiga kelele- Shibudaaa, shibudaaa, etc lakini viongozi wana-dissolve wakisema 'mnataka shibuda- ''ndioooo'' tulia chama hakita kosea'. mytake: sauti ya uma, hata kama itaonekana ni 'yakihuni-huni' ni sawa na mkuki ulio angani usiukinge kwa kitenge, ukisha rushiwa ni kweli umekustahili.
 
Hujasomeka!
 
Back
Top Bottom