Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 9,662
- 16,023
Hii ndio taarifa mpasuko kupitia wizara ya mambo ya nje Saudi Arabia ambayo inatajwa kuwa ni mshirika wa karibu wa Marekani na Israeli imeendelea kutoa msimamo wake kuwa hakutakua na uhusiano wa kidiplomasia na Taifa korofi la israeli mpaka pale Palestine itakapokua huru na makao yake makuu katika mji wa Quds (Jerusalem) kulingana na mipaka ya mwaka 1967.