Saudi Prince facing life in jail for murder of servant.

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054


A Saudi Prince is facing life in jail today for brutally battering and strangling his servant to death.

Saud Abdulaziz bin Nasser al Saud carried out a campaign of "sadistic" abuse against his manservant.

He was today found guilty at the Old Bailey of murdering Bandar Abdulaziz in a "brutal" assault in their five-star hotel suite.

The prince was fuelled by champagne and "sex on the beach" cocktails when he bit the 32-year-old hard on both cheeks during the attack in February.

They had just returned from a Valentine's Day night out when al Saud launched the ferocious assault.

When he was arrested he at first wrongly believed he had diplomatic immunity, but his special status as a Saudi royal could not save him from British justice.

The 34-year-old, a member of one of the world's richest and most powerful dynasties, was found guilty of murder today by the jury after just one hour and 35 minutes of deliberation.

Al Saud showed no reaction as the decision was announced.
Saud-Abdulaziz-bin_1147272a.jpg
 
poor Saudi!, with all that Arabs & Muslims proud of-but you still engulf all these shits
 
Halafu jamaa lilikuwa SHOGA. Hii tabia ya kufungia wanawake, ndiyo madhara yake. Ngoja dunia watu tupungue kidogo.

Saud+Abdulaziz+bin+Nasser+al+Saud+%28in+white%29+is+seen+with+his+servant+Bandar+Abdulaziz+in+an+elevator+in+London%27s+Landmark+hotel+on+January+22,+2010.jpg
 
RIP Kijana. Sasa na wewe Mpingo kuwa Shoga, Daaahhh!!! Ona sasa.

Hivi alikuwa Mu-Angilacan nini huyu? Maana imetokea UK kama sikosei.

Murder+victim+Bandar+Abdullah+Abdulaziz+is+seen+in+a+recent+undated+photograph+released+in+London+October+19,+2010.jpg
 
Dunia ina vituko jamani ...........lakini huyu ni mwana mfalme / mrithi wa ufalme na nchi yao inaheshimika kiasi kikubwa katika nchio za magharibi,
Sikonge -lakini nchi za mgharibi hakuna kufungia wanawake na mashoga kibao , je hapa kwetu wanawake wanafungiwa ? je wapo mashoga na wasagaji ?
ng´wanza Madaso --nchi yao kuna miji mitakatifu ya kiislamu lakini huyu hana wadhfa wowote katika dini , nionavyo mimi kama la kushangaza basi ni lile la kuwa kuna misa zinaongozwa na mashoga ambao wanajulikana dhahiri .au katika mshule ya bweni ya makanisani mapadri kuwa***ra watoto wadogo ??
Dunia imejaa vituko na tusimjadili mtu kwa imani yake au nchi yake ,ila yeye binafsi. Kwa maana hakuna hata dini moja ambayo watendaji wake wote wako safi ,kwani nao ni watu wenye akili na matamanio na shetani anafanya kazi yake,katika 1000 atapata tu japo wa2 ambao watamfata.
 
Mkuu, it is the matter of religious ethics. You know what is happening on their side.
wanaoruhu ni wale waliokubali na viongoz wao kuwa gays_huyu si kiongoz wa dini ni mfuasi tu na mtawala_ivo roma au jerusalem hakuna gays_achen kuzifungia akil zenu matakoni_ziachien zifanye kaz
 
Hivi nyinyi kwa maoni yenu munadhani huyo atafungwa kama raia wengine? Sheria ni kwa walalahoi tu dunia nzima na huko Uingereza ndiyo kabisa wanafiki.

subirini tu dili za mafuta zitapoanguka utasikia kimya kimya mwana wa mfalme amekwenda kufungwa kwao kwa sababu anaumwa, blah blah blah. Halafu huyo ametoka yuko njiani kama kawaida.
 
Hivi nyinyi kwa maoni yenu munadhani huyo atafungwa kama raia wengine? Sheria ni kwa walalahoi tu dunia nzima na huko Uingereza ndiyo kabisa wanafiki.

subirini tu dili za mafuta zitapoanguka utasikia kimya kimya mwana wa mfalme amekwenda kufungwa kwao kwa sababu anaumwa, blah blah blah. Halafu huyo ametoka yuko njiani kama kawaida.

Mkuu labda huyo jamaa asiwe na uraia wa uingereza
 
Back
Top Bottom