Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,169
- 10,899
Ule ukimya wa muda mrefu wa mataifa mawili makubwa ya kiarabu sasa umefika mwisho.Mataifa hayo ni Misri na Saudi Arabia.
Misri ilitoa onyo lake dhidi ya Israel na nia yao ya kupiga eneo la Rafah karibu wiki mbili zilizopita.Baada ya hapo walikaa kimya na haijulikani wamefanya matayarisho kiasi gani kwa siri kukabiliana na kitisho hicho.
Saudi Arabia nayo hapo jana Jumamosi nayo imevunja ukimya na kutoa onyo kali kwa Israel.
Kupitia wizara yake ya mambo ya nje nchi hiyo ya kifalme na kitovu cha waislamu duniani, imeitaka Israel kusitisha vita mara moja na kuanza mchakato wa uanzishwaji wa taifa la Palestina.
Katika karipio lake hilo Saudi Arabia haikuweka wazi itafanya nini pindi Israel ikishambulia Rafah ambako iliwataka watu wa Gaza wakimbilie hapo mwanzo.
==
Saudi Arabia has warned Israel that a planned invasion of the city of Rafah may cause an imminent humanitarian disaster.
The oil-rich nation’s foreign ministry released a statement on Saturday calling for an immediate ceasefire to the conflict as Israel is poised to launch a ground invasion of Rafah, which borders Egypt at the southern end of the Gaza Strip. More than half of Gaza's estimated 2.3 million population is now packed into the city.
Israeli Prime Minister Benjamin Natenyahu's office has ordered the military to develop a plan to evacuate the population city ahead of a ground invasion to destroy four Hamas battalions it says are deployed there.
Yahoo News