Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,645
hivi ni kweli kule tanga hakuna kibao cha kwaheri ?
Ukiingia: Karibu Tanga
Ukitoka: Karibu Tena Tanga.
hivi ni kweli kule tanga hakuna kibao cha kwaheri ?
Kiukweli mkuu wakifuta hayo maneno(SASA UNAINGIA MKOA WA MARA)watafanya kosa kubwa sana!!!!
Hiyo kitu inaletaga mzuka sana,ata ukiwa kwenye MUSOMA EXPRESS unatamani ushuke ili upige saluti mbele ya kibao kisha ndio uendelee na safari!!!!
Yani wanataka kubugi sana aise!!!!Nadhani Mkuu wa Mkoa wa Mara anapaswa kwanza ajue kwanini hicho kibao kina maandishi hayo. Huu utaratibu wa kuingia mahali na kuanza kupangua jadi za watu si mzuri hata kidogo.
Inabidi tuandamane.
Tuwashirikishe wabunge wetu pia bhana!!!!hii haikubariki kabisaaa!!!
Watakaokitoa watakuwa hawajitaki aisee maana ht askari wanaujua vizuri mziki wake.
Source ni jinsi gari yao ilivyo.
Watakaokitoa labda waende usiku wa manane. Mi nikiwa nasafiri nikiona tu hicho kibao nakaa attention maana ht makonda huwa wanachange ghafla ukizubaa wanakupitiliza tu. Ni hakuna kuremba,ubabe mwanzo mwisho.
Mkuu,lile bango la Ngorongoro/Serengeti? haiwezekani,hyo ni moja ya utambulisho wa Mara.
Yaani wanataka watuambia karibu mkoa wa Mara,huo utani uliopitiliza!
We!we!we!THUBUTU ZAO!wakifute???
TUTAANDAMANA MCHANA KWEUPEEEE!!!
Hatukubali kibao hicho kiondolewe au hata kubadilishwa. Hiyo ndo Identity yetu wana Mara.
Umeona eeeh,yaan unajiandaa kiamri na ubabe maana huku ht watoto wadogo nao ni wababe balaa. I wish hao panya road waje mara siku moja waone shughuli yake.
Nadhani Mkuu wa Mkoa wa Mara anapaswa kwanza ajue kwanini hicho kibao kina maandishi hayo. Huu utaratibu wa kuingia mahali na kuanza kupangua jadi za watu si mzuri hata kidogo.
Kiukweli mkuu wakifuta hayo maneno(SASA UNAINGIA MKOA WA MARA)watafanya kosa kubwa sana!!!!
Hiyo kitu inaletaga mzuka sana,ata ukiwa kwenye MUSOMA EXPRESS unatamani ushuke ili upige saluti mbele ya kibao kisha ndio uendelee na safari!!!!
Mimi nachojua ubabe ni kwa kutafuta hela tu na kuzimiliki kwa wingi huo ndio uwanaume. Huna hela na maisha yako duni unajiita mbabe na mwanaume ndio walivyo wanaume wengi wa Mara hovyoo kabisa miili mikubwa hamna kitu kichwani.
hivi ni kweli kule tanga hakuna kibao cha kwaheri ?
Mimi nachojua ubabe ni kwa kutafuta hela tu na kuzimiliki kwa wingi huo ndio uwanaume. Huna hela na maisha yako duni unajiita mbabe na mwanaume ndio walivyo wanaume wengi wa Mara hovyoo kabisa miili mikubwa hamna kitu kichwani.
maWabunge yenu ndio yakufunga vifungo hovyo hovyo nayo mnaona yanaakili
hivi ni kweli kule tanga hakuna kibao cha kwaheri ?
Kaka TANGA kuna kuingia tu hakuna kutoka na ukifanikiwa kutoka basi dada zangu wenyeji watakuwa wamekupurusa vya kutosha isitoshe ni wakarimu mno,hata ukae miaka ishirini siku ya kuondoka ukiaga wadada watakuambia "jamani hata haujakaa WAJA LEO WAONDOKA LEO!" Wengi wametelekeza familia sababu ya Tanga.
nimecheka sana eti midume ya Dar
maWabunge yenu ndio yakufunga vifungo hovyo hovyo nayo mnaona yanaakili
hivi ni kweli kule tanga hakuna kibao cha kwaheri ?[/QUOTE
Ahahaaaaaaha