Sasa nimeamini wanaume wote tunaumizwa na fikra za binti zetu kutendewa tendo la ndoa!

Weakman

JF-Expert Member
Jul 23, 2021
861
1,384
Kwenye Uzi wangu nilioandika leo asubuhi, nilielezea bayana jinsi ninavyoumia ninapotafakari matendo ya mwanamume anayomtendea mwanamke kwenye tendo la ndoa!

Maumivu yananijia pale ninapomfikiria binti yangu kwamba naye lazima awe mteja katika Jambo hilo!

Wengi walipandwa na hasira juu ya kauli zangu. Ninachoshangazwa ni kuwa, kauli zangu ni zilezile ambazo zinatumika kwenye nyuzi zingine zinazopendwa humu ndani!

Hapa kilichowakera wengi ni kwamba, mauidhui yangu yaliwalenga moja kwa moja mabinti tuliowazaa. Ingawa binti yangu ndio nilimuweka kuwa mhusika wa mjadala!

Hilo ndilo limeumiza nafsi za watu, na hapo ndipo napata uhakika kumbe kweli sisi sote tunateswa kifikra tunapoingia katika fikra za kuhusu tendo lile la ndoa juu ya mabinti wetu wenyewe!

Watu wanafurahia kuongelea matendo yote ya kingono katika muktadha wa mwanamke asiyehusiana naye kindugu! Wanasahau kuwa hao tunaowajadili Ni mabinti waliozaliwa na wazazi ambao ni sisi wenyewe!

Hadi Sasa ninapoandika uzi huu, huo Uzi wangu wa awali haujulikani uliko!
 
Sijauona huo uzi wako ila Kuna mambo hayaingiliani yanatenganisha na mstari

MFANO
1)Nikisema Mwanamke makalio bana: huwezi kuniambia mbona mamako hana makalio babako kamoenda hivyohivyo hapo umefanya kosa muktadha wowote unaohusu Mapenzi/ngono/mahusiano kwako wazazi au ndugu hawaingii

Eti kwasababu mimi napenda kugonga mwanamke kilamala mala tatu kwasiku nifikirie itakuwaje mamayangu akiwa anago*** mala tatu kwasiku unaona yaani kufikiria tu kichwani inareta ukakasi ndio maana nimeweka nyotanyota pale kwahiyo ujue hivyo

So kufikiria binti yako atakuja kugongwa etvkwasababu wewe unagonga wanawake wewe Ni bab uliyekosa akili.

2)Mfano mwengine utasikia "Unamkataa Single Mother huyo mamako mbona single mother" Wrong mamatmyangu akiwa single mother Ni yeye na baba alimoenda yeye hivi vitu vinatengwa na mstari kwa mantiki hii Basi tungekuwa tunaiga kwa wazazi kilakitu mpaka wanavyofanya kwasababu eti ukifanya hivi mbona hivi WRONG
 
Hicho unachokitaa, ndicho kipimo Cha hukumu yako kwa Mungu!

Mungu atahukumu unayoyatenda kwa mwingine!

Ili hekima yako ikamilike, tafakari unayoyafanya kwa wengine Kama yanaleta furaha yakifanyika upande wako!
 
Ulichoandika hapa hakihusiani na nilichoandika Kuna dhambi yoyote nimeandika Happ mfano unless iwe hujui hoja yako
 
Angefikiria hayo mapema angejiona mpuuzi kuleta uzi wa namna hii. Mtt wa kiume awe shouger hapo ndiyo kuna ukomo wa kufikiri kuhusu uzazi wa watoto
Huyu jamaa ni mgonjwa, kuumia kwa kuwaza anavyofanyiwa mwanamke kwenye tendo siyo normal, ana ugonjwa, awahi msaada.
 
Kwenye Uzi wangu nilioandika leo asubuhi, nilielezea bayana jinsi ninavyoumia ninapotafakari matendo ya mwanamume anayomtendea mwanamke kwenye tendo la ndoa!

Maumivu yananijia pale ninapomfikiria binti yangu kwamba naye lazima awe mteja katika Jambo hilo!

Wengi walipandwa na hasira juu ya kauli zangu. Ninachoshangazwa ni kuwa, kauli zangu ni zilezile ambazo zinatumika kwenye nyuzi zingine zinazopendwa humu ndani!
Hapa kilichowakera wengi ni kwamba, mauidhui yangu yaliwalenga moja kwa moja mabinti tuliowazaa. Ingawa binti yangu ndio nilimuweka kuwa mhusika wa mjadala!
Hilo ndilo limeumiza nafsi za watu, na hapo ndipo napata uhakika kumbe kweli sisi sote tunateswa kifikra tunapoingia katika fikra za kuhusu tendo lile la ndoa juu ya mabinti wetu wenyewe!

Watu wanafurahia kuongelea matendo yote ya kingono katika muktadha wa mwanamke asiyehusiana naye kindugu!
Wanasahau kuwa hao tunaowajadili Ni mabinti waliozaliwa na wazazi ambao ni sisi wenyewe!

Hadi Sasa ninapoandika uzi huu, huo Uzi wangu wa awali haujulikani uliko!
Wee jamaa umeyumba ,watengenez jinsia unayotaka ,acha wivu mkuu utaunga grid ya Taifa
 
Sijauona huo uzi wako ila Kuna mambo hayaingiliani yanatenganisha na mstari

MFANO
1)Nikisema Mwanamke makalio bana: huwezi kuniambia mbona mamako hana makalio babako kamoenda hivyohivyo hapo umefanya kosa muktadha wowote unaohusu Mapenzi/ngono/mahusiano kwako wazazi au ndugu hawaingii

Eti kwasababu mimi napenda kugonga mwanamke kilamala mala tatu kwasiku nifikirie itakuwaje mamayangu akiwa anago*** mala tatu kwasiku unaona yaani kufikiria tu kichwani inareta ukakasi ndio maana nimeweka nyotanyota pale kwahiyo ujue hivyo

So kufikiria binti yako atakuja kugongwa etvkwasababu wewe unagonga wanawake wewe Ni bab uliyekosa akili.

2)Mfano mwengine utasikia "Unamkataa Single Mother huyo mamako mbona single mother" Wrong mamatmyangu akiwa single mother Ni yeye na baba alimoenda yeye hivi vitu vinatengwa na mstari kwa mantiki hii Basi tungekuwa tunaiga kwa wazazi kilakitu mpaka wanavyofanya kwasababu eti ukifanya hivi mbona hivi WRONG
Lugha yako ni ngumu sana kuielewa
 
Kwa hiyo katika huo uzi ulikuwa unafikiria namna binti yako anavyomkatia uno muhuni fulani hivi...?
 
Mchungaji alisimama akauliza nani anapenda binti au kijana wake wa kiume aowe au kuolewa na mwanaume au mwanamke mwenye tabia kama zake
Ndugu Weakman nasikitika kusema hakuna aliesimama
 
Back
Top Bottom