Sasa nauza Ekari 1 tu kwa TZS 10m Arusha

Njopa

Senior Member
Nov 18, 2010
192
30
Wakuu bada haijakaa vizuri! Sasa nimeamua kuu Ekari 1 kwa bei poa kabisa ya 10m tu. Wahenga walisema kimfaacho mtu chake!

Shamba lipo eneo zuri linalokua kwa haraka takriban kilometa 1.7 toka Mandela University. Kumbe shamba lipo mkabala na Chuo cha Mandela, Hort Tengeru, Usa river, barabara za Old moshi, Mererani na Barabara ya East afrika inayotarajia kujengwa. Mara unapoanza pacha ya barabara ya Mereranil baada ya mita 500 unapokuta nguzo za kwanza za miti za umeme kulia ndipo shamba lilipo. Hivi sasa tayari kuna mabadiliko makubwa na karibu na eneo tayari Wakorea wameanza jenga Center yao. Ni eneo zuri sana kwa Makazi, maji na umeme vipo karibu. Baadhi ya maendeleo mkabala na shamba hilo ni pamoja na shule mpya ya English media. Eneo limekaa vizuri kwa namna nyingi, ni rahisi kufika KIA, Moshi, kuna Reli, karibu na soko laTengeru; Ngurudoto, USA river, Moshi etc, Maji ya kuchimba ni mengi ndani ya mita 15 tu lakini ya bomba yapo japo mbali kidoogo tokea shamba lilipo ila umeme upo kama mita 200 tu, Kuna miti kadhaa ya asili na vichaka. Shamba lipo kilomita 17 toka mjini Arusha na unaweza kupitia tengeru au kijenge ili kufika shambani.

Bei sasa ni 10Millions tu kwa hiyo ekari 1

Mawasiliano 0786262635

Karibuni
 

Attachments

  • DSC_0508.JPG
    DSC_0508.JPG
    1.1 MB · Views: 197
  • DSC_0509.JPG
    DSC_0509.JPG
    1.2 MB · Views: 191
  • DSC_0514.JPG
    DSC_0514.JPG
    1.2 MB · Views: 185
  • DSC_0515.JPG
    DSC_0515.JPG
    1.2 MB · Views: 179
  • DSC_0517.JPG
    DSC_0517.JPG
    1.4 MB · Views: 173
Back
Top Bottom