Sasa naamini maneno ya Dr Slaa; NEC ilichakachua matokeo

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
Dr slaa amewahi kusema mara kadhaa kuwa Tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) ilichakachua matokeo ya uchaguzi mwaka 2010.
Kauli hii ilianza kujidhihirisha wazi pale tulipoanza kushuhudia mlolongo wa kesi dhidi ya mwenendo na matokeo ya uchaguzi huu.hii inamaanisha kuwa usimamizi wa uchaguzi ulikuwa wa kihuni kuliko chaguzi zote zilizowahi kufanyika.
Nina wasiwasi sana kwamba bajeti ya serikali inaweza kuathiriwa kwa kiwango kikubwa sana kutokana na hizi by elections.

Je kuna sheria inayoweza kumwajibisha aliyekuwa mwenyekiti wa tume jaji lewis makame?
 
Mkuu leo ndo umelitambua hilo kwamba NEC ya ccm ilituchagulia Rais!!?
 
Back
Top Bottom