Sasa je inakuwa??

Mtalingolo

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
2,181
409
Ni swali ambalo wengi wetu tumelitumia/tunaendelea kulitumia tunapokuwa tunataka kuanzisha mahusiano.
Hebu kwa mtazamo wako na uzoefu wako itolee maelezo hii picha
 
Attachments

  • Sasa je.jpg
    Sasa je.jpg
    9.6 KB · Views: 83
View appearance! Wadani'discus Biology!
Huenda topic consist human reproduction , that's why kijibinti ndy kikawa na hivyo viabu vya kimagirini , kwa pozi la kidole kwa mdomo .
 
Hapo ushaimba nyimbo zako zote na mashairi yote yasiyo na vina wala mizani na ushajitolea sifa zako zote sasa swali unauliza
Je amezisikia nyimbo zako na mashairi yako
Inakuwaje sasa
Yuko tayari au bado uendelee kuimbisha
 
speaking from experience, hapo atakuwa najifikiria kama akubali au akatae.
 
View appearance! Wadani'discus Biology!
Huenda topic consist human reproduction , that's why kijibinti ndy kikawa na hivyo viabu vya kimagirini , kwa pozi la kidole kwa mdomo .

Hapo unakuta dogo kwao mashariki lakn kamsindikiza dogo Mangaribi huku anatema cheche tu. Teh teh teh.
 
Mhh...demu (mwanafunzi wa form 4 D Jangwani sec) anawaza nikimkubali haraka ataniona malaya nikiendelea kumkatalia atakata tamaa aende...dah!
 
mwanzoni mwa somo huo mti ulikuwa na majani kibao...ila kwa majani yaliyobaki naona sasa somo limeeleweka
 
mwanzoni mwa somo huo mti ulikuwa na majani kibao...ila kwa majani yaliyobaki naona sasa somo limeeleweka

Teh teh teh, na kama eneo lako likiwa na nyasi ndefu, ukiwakaribisha hao watoto kama kumi hvi wanafyeka kwa mikono.
 
dogo mwenyewe anauliza sasa inakuwaje huku ashadindisha... na shati kachomolea wakati hana uhakika !!!
 
Kajamaa lazima kachukue point zote tatu,kanaonekana na confidence za kama buku jero wakati kademu kameloowa!
 
Back
Top Bottom