Sanamu la mungu Mwezi (Luna) Laokotwa chini ya Bahari

Sanamu haiabudiwi bali anayeabudiwa ni Mungu..sanamu, picha n.k ni vielelezo kwa ajili ya kumfundisha mwanadamu.. binadamu sio roho peke yake.. hivyo ni vema kutumia njia tofauti tofauti ili kumuelewesha..
 
Hata Mungu alimwagiza Musa atengeneze nyoka wa shaba ili waisraeli wakimtazama wapone.. pia msisahau makerubi kwenye sanduku la agano... Hivyo vyote ni sanamu..
 
Msome maandiko vema na kuelewa..
So Kila Mtu atengeneze Sanamu lake? Kama kuelewa wewe sehemu ya kutengeneza umeipatia wapi? kama hayo yote masanamu vitabu vya Dini vina contradiction za kufa mtu... ndio maana tunaoelewa maana haswa ya Dini tupo FREE tunaoenjoy life... Wanaomcha Mungu ambao hawamjui Mungu wao wala jina lake wala hawafuati mifumo yake zaidi ya kugeuza geuza kwa maono yao wanayoona inawapedeza wao huwa hawana akili vizuri... wanajua kabisa 100% wanakosea ila wao hujipa moyo kuwa wanapatia kumcha Mungu wasiyemjua... na mtu akiwahijo husema hatubishani mambo ya Mungu... Kipofu akimuongoza kipofu mwenzie wote hutumbukia shimoni... ndio watu wanaojiita wacha Mungu wote wanatumbukia Shimoni maana karibu wote hawamjui wanayemuabudu na hata maandiko hawawezi yafuata kama inavyotakiwa wanawaza Utajiri ambao wameambiwa ni ngumu kuingia Mbinguni... na pia wameandikiwa kwenye Yohana kuwa watakao enda Mbinguni ni Watakatifu tu tena kwa Idadi ya watu 144,000 pakee wakiwemo wale waliotangulia na waliopo sasa na watakao kuja baadae..
 
Narudia tena soma maandiko kwa makini uyaelewe..usikariri mstari mmoja pekee...mf..hiyo habari ya watu 144,000 ungesoma hadi chini uelewe zaidi na sio kusoma habari nusu..
 
Sijakuelewa mkuu....hebu kuja kwa ufafanuzi zaidi kiongozi wangu

Maake ninavyo ona hapo juu hayo masanamu yanatuonyesha sisi wawili i,e waislam na wakristo hatuko salama....tumeingizwa chaka for such a longtime bila kujijua.
lugha ya malikia elizabeth hapo chini.

swissme
 
Narudia tena soma maandiko kwa makini uyaelewe..usikariri mstari mmoja pekee...mf..hiyo habari ya watu 144,000 ungesoma hadi chini uelewe zaidi na sio kusoma habari nusu..
Leo na nyinyi mshaelewa maana ya Kusoma habari nzima... Maajabu... Mnachagua vya kusoma nusu na mnaacha vya kusoma kidogo... Biblia ni Story ambazo zimeendana na wakati uliokuwa pindi hicho... na story zilikuwa zinawahusu wahusika wa wakati huo huo na miaka kadhaa ya zama hizo so Nyie kazi yenu kuchukua baadhi mnavyoona vinawafeva pekee na vingine mnaviacha na kuvisahau....

Nimeona Mmechukua Kusali Jumapili tofauti kabisa na Mungu wa Waisrael na Utawala wa Roman Mungu kabadilishiwa Kuabudiwa siku kinguvu hapo hapo ukitizama Maandiko yanasema Yesu hakuja Kutengua Torati na hajawahi elekeza watu wabadilishe Siku ya Mungu wao kuabudiwa so it means Wakristo wana Mungu wao tofauti na Waisrael...
Ulaji wa Nguluwe kuna story jamaa alioteshwa Ndotoni akiwa na njaa akaletewa Wanyama achinje ale alipoletewa Nguluwe akasema ni Mnyama aliyekatazwa kuliwa sababu ana kwato ambazo hazijachanika japo anacheua kama Torati ya Musa ilivyokataza na Maneno ya Musa ndio yanayoaminiwa zaidi hadi Yesu aliyeishi Duniani alikili na kuyafuata haswa... So Ndotoni Jamaa ati aliambiwa Kiingiacho Mwilini si Najisi bali kimtokacho kwa Maneno hayo ya Ndotoni Nguluwe aliliwa kama si Najisi bali mtu akienda Kunya kile anachokunya ndio Najisi watu wakahalalisha Nguluwe kwa Maneno ya Ndotoni this is Stupid... Sababu ya kutoliwa hao wanyama zilianza tokea zama za Nuhu hata kwenye Safina walijulikana ni wanyama wasio wasafi...

Kuna Vitu vingi kama kutoa kafala n.k vimeachwa japo viliwahusu watu wa zama zao n.k Dini zimeingiza watu chaka kwa kuwafanya watumwa wa Akili... viongozi wao wakosee wapatie waumini huitikia tu Amen..

Kama unaamini Biblia basi na Ufunuo wa Yohana lazima uuamini maana ndie yasemekana alipelekwa kisiwa cha Patimo na kuoneshwa Mwisho wa Dunia utakavyokuwa so Hadi Idadi ya watu watakatifu watakao ingia Mbinguni najua imekuuma sababu wafahamu kuwa sio kwenu au unaposali total hakuna Watakatifu na wewe wajielewa sio kabisa Mtakatifu so kuingia hutoweza....
 
mkuu napata shida sijui nikujibuje maana nadhani wewe siyo msomaji wa historia pamoja na biblia.

Kama ni msomaji wa biblia. Utagundua kwamba Yesu Akuleta Ukristo. Na Ukristo siyo Dini.

Wala kwa Mungu Hakuna Ukristo. Ila kuna Kristo Yesu na Wanafunzi wa Yesu.

Pili. Unaposema Yesu Ana dini Sijui umesoma Biblia Gani na kama Umeisoma Basi Ujaielewa vizuri.

Yesu Hana Dini Wala Dhehebu. Ndiyo maana Yesu ni Mwokozi wa Ulimwengu.

Dini zinamipaka na Mapokeo yasiyo ingiliana na Dini Au Dhehebu lingine.

Lakini Yesu Hana Mapokeo wala dini. ndiyo maana biblia inasema (kila atakae liitia Jina la Bwana Ataokolewa) aisemi wakristo ndiyo wenye haki ya kulitaja jina la Yesu.

Mwisho
ujue kwamba Dini ya kiyahudi ndiyo iliyomwua Yesu.

Kwa sababu Alipingana na Taratibu zao, akiwaeleza kwamba Mungu Hana dini wala Habagui.

Wakamwua kwa kusema Anakufuru. Sasa kama unataka kujua undani wa mabo haya soma biblia ujue ukweli.

Ndiyo maana mtume paulo baada ya kuokoka akema dini inatenga watu bali Kristo anawaunganisha watu. Wamwabudu Mungu wa kweli.
Mkristo hawazi kuupata ukweli kwenye Quran, na Muislam hawazi kuupata ukweli kwenye Bibilia. Ila kama mnadhani mmeumbwa na Miuungu tofauti jibu maswali haya: Kwanini tunaitwa Binadam wakati tumeumbwa na Miuungu tofauti, kwanini tunafanana kwa kila mahitajio. Kama kizazi fulani kimepotea, kwanini Mungu mwenyewe asijitokeze akaonyesha imani ya kweli, maana hao kila kiongozi wa imani anasema yeye ndiye yuko sahihi. Kama Mungu anauwezo wa kuokoa, kwanini asiwaokoe wanaopotea, Mungu ameumba ulimwengu mmoja je unadhani alishindwa kuwapa watu imani moja, niishia hapa kwanza.
 
Leo na nyinyi mshaelewa maana ya Kusoma habari nzima... Maajabu... Mnachagua vya kusoma nusu na mnaacha vya kusoma kidogo... Biblia ni Story ambazo zimeendana na wakati uliokuwa pindi hicho... na story zilikuwa zinawahusu wahusika wa wakati huo huo na miaka kadhaa ya zama hizo so Nyie kazi yenu kuchukua baadhi mnavyoona vinawafeva pekee na vingine mnaviacha na kuvisahau....

Nimeona Mmechukua Kusali Jumapili tofauti kabisa na Mungu wa Waisrael na Utawala wa Roman Mungu kabadilishiwa Kuabudiwa siku kinguvu hapo hapo ukitizama Maandiko yanasema Yesu hakuja Kutengua Torati na hajawahi elekeza watu wabadilishe Siku ya Mungu wao kuabudiwa so it means Wakristo wana Mungu wao tofauti na Waisrael...
Ulaji wa Nguluwe kuna story jamaa alioteshwa Ndotoni akiwa na njaa akaletewa Wanyama achinje ale alipoletewa Nguluwe akasema ni Mnyama aliyekatazwa kuliwa sababu ana kwato ambazo hazijachanika japo anacheua kama Torati ya Musa ilivyokataza na Maneno ya Musa ndio yanayoaminiwa zaidi hadi Yesu aliyeishi Duniani alikili na kuyafuata haswa... So Ndotoni Jamaa ati aliambiwa Kiingiacho Mwilini si Najisi bali kimtokacho kwa Maneno hayo ya Ndotoni Nguluwe aliliwa kama si Najisi bali mtu akienda Kunya kile anachokunya ndio Najisi watu wakahalalisha Nguluwe kwa Maneno ya Ndotoni this is Stupid... Sababu ya kutoliwa hao wanyama zilianza tokea zama za Nuhu hata kwenye Safina walijulikana ni wanyama wasio wasafi...

Kuna Vitu vingi kama kutoa kafala n.k vimeachwa japo viliwahusu watu wa zama zao n.k Dini zimeingiza watu chaka kwa kuwafanya watumwa wa Akili... viongozi wao wakosee wapatie waumini huitikia tu Amen..

Kama unaamini Biblia basi na Ufunuo wa Yohana lazima uuamini maana ndie yasemekana alipelekwa kisiwa cha Patimo na kuoneshwa Mwisho wa Dunia utakavyokuwa so Hadi Idadi ya watu watakatifu watakao ingia Mbinguni najua imekuuma sababu wafahamu kuwa sio kwenu au unaposali total hakuna Watakatifu na wewe wajielewa sio kabisa Mtakatifu so kuingia hutoweza....
Mwanzo wa uumbaji..Mungu akaona kila alichokifanya ni chema akabariki..pia kwa habari ya agano la kale kuna baadhi ya mambo Mussa aliwaruhusu waisaraeli wafanye akipokea maagizo kutoka kwa Mungu sababu ya ugumu wa mioyo yao waisraeli..hata yesu alilisema hilo wakati akijibu swali juu ya talaka..pia Yesu alikuja kutimiliza torati..mf.habari ya vyakula.. pia habari ya siku ya kuabudu ni kuwa Mungu hana siku ya pekee..maana siku zote ni zake..zaidi sana anataka umuabudu katika roho na kweli..kwa habari ya watakatifu wa kuingia mbinguni soma hilo fungu zima utaona kuwa Yohana badae alionyeshwa mkutano mkubwa ambao hauhesabiki kwa hesabu za kibinadamu..hivyo kusema watakatifu ni watu 144,000 pekee sio sahihi, ni sawa na kusema tayari mbingu imeshajaa na imefungwa hivyo tumuone Mungu ana upendeleo.. soma zaidi maandiko..
 
hapa ndipo ninapo pata ufahamu kwanini Yesu Alisema Kupitia Mimi Mtamjua Mungu wa Kweli.

Kumbe kinyume chake kuna Mungu wa Uongo ndiyo maana Yesu Akatutaadharisha.

Soma Injili ya Yohana Mtakatifu 17:3

Kwahiyo sisi tunaoweka alama za Mwezi kwenye nyumba za Ibada tumepotoka ?.
 
Mtu yeyote asiwahukumu kwa habari ya vyakula, mwandamo wa mwezi, sabato..maana mambo hayo ni kivuli cha yale yajayo...Mtume Paulo.
Huyo Paulo wewe unamuhesabia ni Nabii? kama unamchukulia huyo kama mfano wako wa Kwenda Mbinguni upo chaka... huyo ndio mpinga Uyahudi Dini ambayo Mungu unayemdhania ndie anayechukuliwa ni wa kweli Sasa Paulo hakuwa Myahudi yeye alikuwa akipinga tu na wewe ndio unayofuata hayo... Yeye alikuwa akiambiwa unakosea anawahi kusema ati anahukumiwa... kama upo wrong upo wrong tu kama Kitwanga alilewa alilewa tu full stop... kama Paulo angekuwa Sawa angefafanua nini maana ya Hukumu... Maana vitu vinavyokatazwa ukimuambia mtu asifanye hujamuhukumu bali ukimpiga ndio umemuhukumu... so ukiambiwa unakosea hujahukumu paulo alikuwa ni Mjinga Sana kawaingiza chaka watu wengi sana kwenda Kinyume na Dini ya Kiyahudi yaani alifanikiwa kuweka kila kitu cha kiyahudi viende tofauti na mafundisho yake.. ndio maana walioweza kuchambua upya Dini walishangazwa naye... ukimsoma hana la maana zaidi ya kupumbaza... Kama Mudi alivyopumbaza na bado watu wanapumbazwa hadi kesho
 
Back
Top Bottom