Najaribu kuangalia Bunge letu linavyoendeshwa naona kabisa kuna udhaifu mkuu na wote mtakubaliana na mimi. Kwa sasa nimehakikisha maneno ya Samweli Sitta kwamba Bunge lake aliloongoza litabakia kwenye records.
Na tungeweza kusonga mbele kama mweshimiwa huyu angepewa nafasi tena kuliongoza bunge hili, wote mnajua kilichotokea ndani ya chama chao wakati wa mchakato kumpata msemaji mkuu yaani spika.
Matokeo yake ndiyo haya -- kwa mfano mwongozaji wa bunge anapofikia hatua ya kumwambia mbunge "wewe unawashwawashwa nini? " au anasema "mbona wewe ubunge unapenda kupata umaarufu" n.k
Bunge na namna hii ni JANGA jilingine la taifa - (Usiniulize tuna majanga mapapi ya kitaifa tafadhali) Samweli Sitta waliokufanyia fitna waadhibiwe (Walaaniwe) na mwenyezi mungu hapa duniani na mbinguni kwani hawakuwa na nia njema kwa maendeleo ya taifa letu. sasa ndiyo tunaona HOJA zikiwekwa kando na MIPASHO ndiyo inatawala.
Watanzania tunaikumbuka kazi yako nzuri.