Viongozi wachache maana yake nini? Kwani miaka sita au saba iliyopita Obama alijulikana? Viongozi wapo wengi ndani ya jamii yetu, lakini hatutaki wapiga debe,isifananishwe wapiga debe / kelele eti waitwe viongozi. Kwanza wametuongoza nini? ufisadi? Dhuluma? wizi? elimi duni?,Infrastructure mbovu? Hao ndio viongozi wa Six? Aache zake. Freeman was a leader and is still a leader. His interest in music and others like us, and owning a discoteque doesn't deter his ego.