Samsung LED TV inauzwa bei chee

Wanajf,mtu yeyote asinunue hii tv,okoa 260,000 yako,moderators naomba mlink id za huyu jamaa na washirika wake
 
Tv bado ipo bei tajwa hapo juu wakuu nmenunua nyingine kubwa zaidi hii ipo tu sina kazi nayo ndo mana nauza Warranty bado inayo frm manufacturer Samsung napatikana ilala amana namba 0654070066 picha mtandao unasumbua nichek watsapp nikutumie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom