Samsung Galaxy S5, Gold color 4 Sale

Habari Wakuu, mzigo mpyaa umeingia. Pia Aksanteni sana wateja wangu hasa wa mikoani ambao tupo pamoja mpaka sasa, na mnaonisapoti Vunja Bei kwa kununua bidhaa zangu za smartphones na zaid kwa kuniunganisha na wateja wengine, nawashukuru saana....tupo pamoja! Pia ile offer ya glass protector imerudi tena, kwa wateja wangu wote watakaonunua cm kwangu msimu huu watajipatia glass protector au cover au vyote kwa pamoja bure kabsa.

Karibuni saana ndugu.
 
Brand new Samsung Galaxy S5 LTE, waterproof, Gold color 16GB For Sale, comes with all accessories.
#0654776976# pia kuna s6 edge 64GB, iphone 6s gold 64GB, na smartphones nyingne za kisasa za kisasa kwa bei pouwa. maelewano yapo.
# Price 480000

afa2f7cc18e079296f73c868d57204aa.jpg
ce8abf7b3f7f07267d5a33b8ccddb099.jpg
9b0394000a692b786663c92ba70fd3e6.jpg
5eb1ac0b0fd90487362af7d5b643a4c0.jpg
Nahitaji smartphone yenye duos. Unayo mkuu?
Samsung edge unayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom