Nauza samsung digital camera model ES28 imetumika lakini ipo katika hali nzuri sana na inafanya kazi bila ya wasiwasi.Camera hii ina megapixel 12.2 lakini haina betri itabidi ununue betri.Bei yake ni Tshs 85,000 na imeshafika kutoka Uingereza na kwa ununuzi tafadhali wasiliana na Habibu 0717810318.
Mkiva...Camera ipo Bongo imeingia juzi na sina wasiwasi kwasababu najua kama inafanya kazi.Inatumia betri za AA nadhani utanifahamu hapo ila sikuwa na muda wa kununua betri kwasababu ya muda.Na kama uatainunua nitakushauri ununue betri za kuchaji ni nzuri zaidi lakini utahitaji charger.Au kama vipi hapo uongeze SHS 15,000 nikuletee kutoka UK ambayo itakuwa ni ya uhakika ni charger na betri ambayo sitii faida ktk hiyo ni kama msaada.Nijibu kama upo serious lakini mzigo utafika mwezi ujao tarehe 10.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.