samaki wanauzwa ni wale wa mapambo

appoh

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
4,902
1,645
samaki wanauzwa wale wa mapambo bei che tupo dar es salaam kwa mahitaji piga simu 0712505049
 
Weka picha za sampuli...... .nisije kununua nembe badala ya sangara....
 
labda nikusaidie kwa majina kuna white gap, red ,pure red ,gold ,tambala american gap ,kuruani na nk
 
Bei zikoje? Watu wanaficha bei kuogopa ushindani, sasa wewe huna haja ya kuficha kwani hii biashara yako haina washindani wa kihivyo. Wewe weka tujue maana kuna ambao tutaogopa bure kumbe pengine tungeweza kumudu
 
bei ni nafuu kutokana na ukubwa na ubora gap jike na dume ni 1000 kuruani jike na dume ni 1000 red ni 2000 kwa mmoja na gold ni 5000 kwa mmoja
 
Unanikumbusha mbali sana kijana. Issue zetu za primary school hizo. Kitu cha zebra kisoda red black tambara teksido american gap

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Unawafugaje hebu tuambia wengine hatujui,ungetuppa utaalamu kidogo,nikijua naweza hata kukupeleka ziwa Malawi wako wengi hao samaki ,nasikia miaka ya nyuma kuna mzungu pale Kyela alikuwa anawavua na kuwapeleka Marekani
 
unawaweka kwenye maji ambayo sio ya bahari kwenye chombo chochote wengi huwaweka kwenye kwelam mfano wa box la vioo chakula ni ugali au spesho food kama toyo na nk maji unaweza kubadilisha yatakapochafuka
 
samaki wanauzwa wale wa mapambo bei che tupo dar es salaam kwa mahitaji piga simu 0712505049

nahitaji fancy gappy, black widow, kribensi, golded gurami, blue chic, angel, discuss...da umenikumbusha long time!
 
samaki wanauzwa wale wa mapambo bei che tupo dar es salaam kwa mahitaji piga simu 0712505049

Mkuu species ulizokua nazo ni hizo tu ulizotaja??blackmore, koi na angel hauna?pia red ni wale fence au wa kawaida??Na gold pia ni weusi au wekundu??asante kaka
 
kaka zebra adimu sana alafu si unajua tabia zao za kuwala wenzao so ni ishu kuwafuga

nimefuga sana hao wengine, lakini sikupata bahati na zebra, kila nikinunua wanaisha, afu hawazai sana, sasa nataka kununua tena, hao wengine ninao, ila nikakutafuta nipate red na gold
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom