Samaki wa magufuli wataifisha meli

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Hukumu ya kesi dhidi ya kesi ya uvuvi haramu,almaarufu kama samaki wa Magufuli,imesomwa leo Mahakama Kuu ya Tanzania.Katika hukumu hiyo,Jaji Agustino Mwarija aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo aliwakuta na hatia watuhumiwa watatu akiwemo baharia wa meli ya uvuvi iliyokamatwa pamoja na watuhumiwa hao.

Jaji Mwarija pia ameamuru kutaifishwa kwa meli ya waasia hao kwa manufaa ya umma.Watuhumiwa wawili kati ya watano wameachiwa huru baada ya kukutwa hawana hatia.Ni hayo tu Wakuu..
 
Back
Top Bottom