samaki mkubwa wa kula kijiji kizima..!!

stineriga

JF-Expert Member
Jun 20, 2012
2,172
886
ATT00035.jpg
 
Kama ni kijiji wataharisha mpaka basi, huyu analiwa na wananzengo wa wilaya yenye watu wengi kama ya Kinondoni!
 
atakuwa ni pomboo huyo a.k.a dolphin

duh huyu samaki ni mkubwa sana! huyo siyo dolphin, hakuna dolphin aliyewahi kuripotiwa kuwa na ukubwa huo.

The bottlenose dolphin grows to be at most 12 feet (3.7 m) long, sometimes weighing more than 1,400 pounds (635 kg). Most are smaller than this.

kwa kumuangalia tu huyo ana zaidi ya 50feets and more than 10tones.
 
@@StinerigaDolphins are marine mammals closely related to whales and porpoises. There are almost forty species of dolphin in 17 genera. They vary in size from 1.2 m (4 ft) and 40 kg (90 lb) (Maui's dolphin), up to 9.5 m (30 ft) and 10 tonnes (9.8 long tons; 11 short tons) (the orca or killer whale). They are found worldwide, mostly in the shallower seas of the continental shelves, and are carnivores, eating mostly fish and squid. The family Delphinidae is the largest in the Cetacean order, and evolved relatively recently, about ten million years ago, during the Miocene. Dolphins are among the most intelligent animals, and their often friendly appearance and seemingly playful attitude have made them very popular in human culture.Dolphin - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Huyu ni nyangumi (whale), na hawa ni wanyama siyo samaki, na wanaweza kukua hadi urefu wa mita 30 na uzito wa tani 180. Kazi kwako mlaji.
 
Wengine wanapatikana wakija maji madogo wakajisaahau bahari ikaondoka kina kikawa kifupi wanashindwa kuondoka!!!
 
Back
Top Bottom