Kwidikwidi
Member
- Aug 19, 2011
- 27
- 12
Khabari za wkt huu wakuu?..kwa alieitikia bac mwenyez Mungu mwingi wa rehema azidi kumbariki! Jaman naomben mnijuze maana ya hili neno 'lol' coz nimeona lina2mika several tymz jamvini hapa!

kuna thread inazungumzia kwa upana zaidi na maneno mengine mengi.......itafute utajifunza mengi

nisindikize.

mapema yote hii unaogopa nini? lmao!