Samahani Rais Kikwete, nikuambie hili ...

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,478
39,997
Sidhani kama ni wazo zuri kwa Rais kuzungumzia suala la EPA tena. Sidhani kama wananchi kweli wanachotaka ni kumsikia akizungumzia historia ya EPA, kamati ilivyofanya kazi na yote yaliyojiri. Naamini Watanzania wanataka zaidi ya kumsikia Rais! So, kabla hajazungumza naomba nimtumie ujumbe.

[media]http://www.klhnews.com/images/podcasts/liongozetaifa.MP3[/media]
 
You made it mwanakijiji...i got a copy of it...tusubiri mkuu sasa atatwambia nini..naona ameshika kichwa tu na pen yake juu ya miwani....

Tusubiri visivyo tegemewa.
 
Sidhani kama ni wazo zuri kwa Rais kuzungumzia suala la EPA tena. Sidhani kama wananchi kweli wanachotaka ni kumsikia akizungumzia historia ya EPA, kamati ilivyofanya kazi na yote yaliyojiri. Naamini Watanzania wanataka zaidi ya kumsikia Rais! So, kabla hajazungumza naomba nimtumie ujumbe.

[media]http://www.klhnews.com/images/podcasts/liongozetaifa.MP3[/media]

Huyu bwana hasikilizi na wala haambiliki. Hakuna jipya katika suala la EPA. Wizi umefanywa na CCM sasa unategemea CCM itajipeleka mahakamani?.

Watanzania wote tunahitaji kufanya maandamano kuelekea ikulu na kuomba funguo za mlango kwani mpangaji wetu pale ikulu ameshindwa kulipa kodi na pia hafuati masharti ya upangaji.
 
As usual Usanii kwa sana!!!! Ingekuwa vema tupate report ya tumena hatua zilizochulikuliwa ama expecting kuchukuliwa.
 
Tumekusikia MMKJJ. Tusubiri tumsikie na yeye. By the way, msamaha wa nini?. Huyo ni mtumishi wetu tumemweka kwa kura zetu. Ukitaka kumweleza kitu huna haja ya kumuomba msamaha kana kwamba kuna kosa. Next time wee longa tuu bila kuanza na msamaha.
 
Hana jipya jamani.....anapiga longo longo anaaga....mwaka 2010 sijui....
 
Thank you mwana kijiji.

A good job. hatuandiki tena , tunazungumza. A step towards success.

Unajiuliza wapo hai huko ikulu au wamekufa. they are doing nothing, Bwana.

Kuwa na rais anayechekacheka ni hatari sana.
 
Nimepata uchungu kusikia wimbo wa Tazama ramani.... unasema utumwa wa nchi Nyerere ameukomesha. CCM ya Mkapa na Kikwete wameurejesha utumwa. Laiti kama Kikwete wimbo huu kila siku asubuhi angekuw anawekewa Kikwete ili umkumbushe majukumu yake.
 
Kuna wakati wa kuandika,
Na wakati wa kulalamika,
Kuna wakati wa kuamka,
Na wakati wa kutamka.
 
Hii kitu yangu haina devices za kusikiliza.
Ila kutokana na reaction ya watu hapa JF kwa muda huu na baada ya kusoma hiyo hutuba,nawapa pole wote mlio chelewa kwenda kwenye kinywaji kwa kukodolea Luninga kusubiri Hotuba Ya Mtukufu Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Wadanganyika.
Na pola MKJJ kwa kupoteza muda kutoa ushauri ambao nadhani haukufatwa.
 
Back
Top Bottom