Sam Mahela kumwambia Hashim Rungwe anaropoka, ni kumkosea adabu

Kwa niliyemfuatilia Sam Mahela kwa muda mrefu jinsi anavyoendesha kipindi cha dakika 45, saikolojia inanipa picha ya mambo mawili makubwa kumhusu mtangazaji huyu:

1. Kuna upande huwa anaegemea kila anapohoji mtu mwenye itikadi au mtazamo tofauti na wake au anayetoa majibu tofauti na aliyonayo yeye.

2. Anafanya kazi zake katika kipindi hicho mindset yake ikiwa imelenga katika kujijenga aonekane kwa mamlaka fulani za uteuzi wala si kwa mwajiri wake. Yuko tayari aharibu kwa mwajiri wake lakini amfurahishe kiongozi wa kisiasa anayemtazama.

Mwanasiasa anayeenda kufanya kipindi na Sam Mahela inambidi awe anajitafakari kama wasifu wake unakaribiana naye kiitikadi na kimtazamo.
 
Mkapa aliwaita WAPUMBAVU NA MALOFA mpaka leo hii kimya kwani kuropoka ni tusi na Rungwe alizungumzia ujenzi wa magorofa ya huko Buguruni tena kwa msisitizo anasema nimepita pale jana tu sijaona kitu chochote labda kama wanajenga underground ila mimi sijaona chochote pale Sam akamuuliza una uhakika? Rungwe ndiyo sijaona chochote pale kwa macho yangu labda nitumie macho yako
.Sasa kama siyo kuropoka nini NB
kuropoka siyo tusi
 
Inategemea ilikuwa katika mazingira gani, musipende kuvifanya vitu kuwa
vigumu.
Kwa mwandishi wa habari kufanya hivyo kwenye mahojiano ni unethical and unprofessional. Amedhalilisha fani na chombo anachotumikia, nani ambaye kesho atataka kuhojiwa kwenye kipindi chake? Ajifunze kwa Albert Chilala wa Channel Ten, kipindi chake ni mubashara lkn haruhusu hisia binafsi kumtawala.

Vv
 
Mkapa aliwaita WAPUMBAVU NA MALOFA mpaka leo hii kimya kwani kuropoka ni tusi na Rungwe alizungumzia ujenzi wa magorofa ya huko Buguruni tena kwa msisitizo anasema nimepita pale jana tu sijaona kitu chochote labda kama wanajenga underground ila mimi sijaona chochote pale Sam akamuuliza una uhakika? Rungwe ndiyo sijaona chochote pale kwa macho yangu labda nitumie macho yako
.Sasa kama siyo kuropoka nini NB
kuropoka siyo tusi
Mwandishi lazima ararajie majibu na asiyotazamia kwenye mahojiano lkn lazima awe reserved na kujua kuwa umma unamtazama, lazima ajitahidi kutunza heshima ya kipindi. Kumbuka, kituo hakiwezi kuadhibiwa kwa kosa la interviewee lkn kinaweza kupata adhabu kwa kosa la interviwer/host.

Vv
 
Aombe radhi ama sivyo achukuliwe hatua na vyombo husika. ili iwe fundisho kwa wengine wajue matangazo mubashara yana kanuni zake ngumi zinge pigwa hapo mjengoni ikawa aibu kwa super bland
 
Hii ni kwa kuzingatia yafuatayo.1. CUF LIPUMBA VS CUF MAALIM SEIF ZIKO KWENYE KOMA SAIVI.2 NCCR YA MBATIA NDIO ILE ALIONDOKA NAYO MREMA KWA SASA NDIO KABSAA INAKUFA KUFA.. 3. CHADEMA NAYO INAJIFIA SIO MUDA MREFU DJ MBOWE NA LOWASA WAMESABABISHA UFA KATI YA CHADEMA ASILIA VS CHADEMA MAKAPI.
4. ZITO NDIO HUYOOO KILA UCHAO ANAKIMBIWA. WA MWISHO ASISAHAU KUFUNGA MLANGO.

LEO HASHIMU RUNGWE AKIHOJIWA NDANI YA ITV AMEAMBIWA LIVE NA SAM MAHELA KUWA ANAROPOKA. HAJIELEWI. SASA NDIO UPINZANI WA KUIONDOA CCM MADARAKANI. JE UKO SERIOUS KWELI??

Kwa hiyo Mkuu unatwambia ile kampeni ya kuua vyama vya upinzani imefanikiwa?, and you are sober and proud of this?? kweli dunia hii maajabu hayataisha.
 
Sam Mahela yaani.sijui nae anaendaga na viroba, alisema Rais Magufuli anaangaliaga kipindi so anataka kumfurahisha rais wake amteue kama alivyomteua Emmanuel Buhohela. Njaa ya madaraka ni mbaya sana
 
Natazama kipindi cha dk 45, Sam Mahela anamhoji Mh Hashim Rungwe ITV.

Mh Rungwe alikua anaeleza mtazamo wake juu ya vipaumbele vya serikali kwa sasa, na akatoa mawazo yake kama yeye angepata bahati ya kwenda Ikulu, lakini cha kushangaza Sam Mahela akamwambia Mh Rungwe kua anauhakika na anachokoongea au ANAROPOKA TU'

Kiukweli sikitendo cha kiungwana kumwambia mh Rungwe anaropoka, kakosa neno jingine la kumwambia mpaka atamke neno kali namna hiyo.
Anafikiri atapata ulaji kama wa gg kwa kumwambia mh. Hashim
 
Kwa niliyemfuatilia Sam Mahela kwa muda mrefu jinsi anavyoendesha kipindi cha dakika 45, saikolojia inanipa picha ya mambo mawili makubwa kumhusu mtangazaji huyu:

1. Kuna upande huwa anaegemea kila anapohoji mtu mwenye itikadi au mtazamo tofauti na wake au anayetoa majibu tofauti na aliyonayo yeye.

2. Anafanya kazi zake katika kipindi hicho mindset yake ikiwa imelenga katika kujijenga aonekane kwa mamlaka fulani za uteuzi wala si kwa mwajiri wake. Yuko tayari aharibu kwa mwajiri wake lakini amfurahishe kiongozi wa kisiasa anayemtazama.

Mwanasiasa anayeenda kufanya kipindi na Sam Mahela inambidi awe anajitafakari kama wasifu wake unakaribiana naye kiitikadi na kimtazamo.
Kabisa uko sahihi, Sam ameanza kufanya kazi zake kwa kutafuta umaarufu flani kwa ili aonekane na wakubwa.. nilikuwa namkubali sana huyu bwana mdogo ila kwa sasa duuuuh amekuwa mnafiki mkubwa sana!
 
Aisee.... Unaweza kuona kwamba lile jina walilopewa watu flani la manyumbu kuwa ni halali yao!

Tundu Lisu na wabunhe wengine wa chadema wanatukana zaidi ya hilo lakini haeajawahi kukemea!
 
Sam Mahela ni wakala wa CCM hapo ITV, ni kama alivyokuwa yule aliyepata ukuu wa wilaya,nadhani hata taarifa za habari huwa anazivujisha kabla hazijatoka

Pia nadhani hata baadhi ya maswali ya kuuliza na wageni wa kualika huchaguliwa na ccm

ITV imfukuze kazi mapema kabla hajawavuruga au apelekwe kwenye vipindi vya watoto
Ulushawahi kutoa wazo kama hilo kwamba chadema wamfukuze Lisu kwa kumuita rais anaropoka?
 
Kwa niliyemfuatilia Sam Mahela kwa muda mrefu jinsi anavyoendesha kipindi cha dakika 45, saikolojia inanipa picha ya mambo mawili makubwa kumhusu mtangazaji huyu:

1. Kuna upande huwa anaegemea kila anapohoji mtu mwenye itikadi au mtazamo tofauti na wake au anayetoa majibu tofauti na aliyonayo yeye.

2. Anafanya kazi zake katika kipindi hicho mindset yake ikiwa imelenga katika kujijenga aonekane kwa mamlaka fulani za uteuzi wala si kwa mwajiri wake. Yuko tayari aharibu kwa mwajiri wake lakini amfurahishe kiongozi wa kisiasa anayemtazama.

Mwanasiasa anayeenda kufanya kipindi na Sam Mahela inambidi awe anajitafakari kama wasifu wake unakaribiana naye kiitikadi na kimtazamo.
Umenena vyema sana mkuu
 
Mkapa aliwaita WAPUMBAVU NA MALOFA mpaka leo hii kimya kwani kuropoka ni tusi na Rungwe alizungumzia ujenzi wa magorofa ya huko Buguruni tena kwa msisitizo anasema nimepita pale jana tu sijaona kitu chochote labda kama wanajenga underground ila mimi sijaona chochote pale Sam akamuuliza una uhakika? Rungwe ndiyo sijaona chochote pale kwa macho yangu labda nitumie macho yako
.Sasa kama siyo kuropoka nini NB
kuropoka siyo tusi
Nazani mindset yako na ya Sam Mahela sawa sawa
 
Angalia tofauti ya umri....within a year mtu anaweza kuwa bilionea
so what do you want to say? kwamba samu anaweza kumfkia kwa mwaka mmoja?, Wapo mawaziri hawamfikii Spunda kiuchumi, huyo Mzee anafanya siasa kwa ajili ya mambo mawiki, ajifurahisha au tuseme anapenda siasa,pili ; anatafuta popularity inayomsaidia kwenye biashara zake . Hata akiingia tra anaweza aspange foleni . Yeye samu huenda anaamini jinsi ya kutusua kwenye maisha ni kwa kupitia kuteuliwa tu.
 
anafwta style ya bashite kumchapa kibao mzee wa watu..i gues alie mwona bashite atamwona nayy ...maana ndo sifa zinazoitajika,kutokuheshima wazee
 
Na mashati yake ya satini na mipiko kichwani hana adabu sam mpuuzi rungwe ni kama baba yake mzazi
 
Rungwe kwa lugha yetu ya kijita ni N.Y.E.G......
Mafia pia kwa lugha yetu hiyo ni M.A.P.U.M.B......
enewei, kama Sam kamwambia hivyo huyo bwana atakuwa amemkosea maana hata ki umri ni mkubwa kwake, ila sasa hatuna clip ya kujua alitamka hivyo katika mazingira yapi.
 
Back
Top Bottom