Salute, Mh Mbowe! Tunahitaji Mjadala wa Kitaifa

Wimana

JF-Expert Member
Jun 28, 2012
2,449
717
Mh Mbowe aliwahi kusema; Tunahitaji Mjadala kujadili mustakabali wa Taifa letu.
Vyombo vya habari havikuipa habari hiyo uzito, Rais JK, Spika na CCM yao, kama kawaida hawachukulii kwa uzito maoni ya Wapinzani, labda kwa kuogopa kuwapa umaarufu CDM.
Leo tunashuhudia yanayotokea, wasioona wanasikia na kusimuliwa yanayotokea nchini mwetu.
Nimemkubali Mh Mbowe, Mbowe si mwana siasa tu bali ni Mtanzania mzalendo, mwenye maono na ameshapevuka kutoka kuwa mwanasiasa ea siasa zetu uchwala.
 
Mkuu mjadala wa kitaifa unahitaji rasilimali fedha na vifaa mbalimbali na hivi vyote vinahitaji kufanikishwa na watanzania wenyewe!!
 
aiseee babaangu hukuna shida kama tumeweza kula nyasi na kununua ndege mbovu ya rais,kununua rada mbovu hakuna shaka tutaweza kugaramia mjadala wa kitaifa kwa manufaa ya watanzania
 
Mkuu mjadala wa kitaifa unahitaji rasilimali fedha na vifaa mbalimbali na hivi vyote vinahitaji kufanikishwa na watanzania wenyewe!!

Hoja yako haina makalio kwani vyote hivyo tunavyo! Mjadala wa kitaifa sio bunduki wala vifaru. kama ni vyombo vya habari tunavyo vingi na si ajabu vingine vipo tayari kutoa muda wa hewani bure hata ukiacha hiyo inayoitwa televisheni ya Taifa. Sema tu watu wenye weledi na uwezo wa kuingia katika mjadala huo kutoka serikalini ndio ambao hawapo.

.
 
Kiukweli hawa jamaa wamelemewa idara zote kwani umesahau juzi wameshindwa ktfanya uchaguzi wa mabalozi huku kwetu sijui huko k
 
Back
Top Bottom