Mwanamayu JF-Expert Member May 7, 2010 11,349 6,476 May 7, 2010 #1 Napenda kuwasalimia wote humu ndani, nafikiri nitakaribishwa vizuri tu. Pia vilevile sijachelewa kuingia.
Napenda kuwasalimia wote humu ndani, nafikiri nitakaribishwa vizuri tu. Pia vilevile sijachelewa kuingia.
tete'a'tete JF-Expert Member Feb 10, 2010 472 62 May 7, 2010 #2 Karibu mkuu treni ndio kwanza o Kilosa! ila mambo yetu utakayoyakuta humu ndani uyabakize humuhumu!! ur most welcome Mwanamayu...........
Karibu mkuu treni ndio kwanza o Kilosa! ila mambo yetu utakayoyakuta humu ndani uyabakize humuhumu!! ur most welcome Mwanamayu...........
Preta JF-Expert Member Nov 28, 2009 24,323 18,793 May 7, 2010 #3 mwanamayu karibu sana...unatumia kumbikumbi?
Mwanamayu JF-Expert Member May 7, 2010 11,349 6,476 May 7, 2010 Thread starter #5 Preta said: mwanamayu karibu sana...unatumia kumbikumbi? Click to expand... Nafikiri unamaanisha natumia Nswa - ndio kwa soda baridi aina ya Sprite!
Preta said: mwanamayu karibu sana...unatumia kumbikumbi? Click to expand... Nafikiri unamaanisha natumia Nswa - ndio kwa soda baridi aina ya Sprite!
Egyps-women JF-Expert Member Feb 5, 2010 498 106 May 7, 2010 #6 wewe ni ngosha kutoka Shy? kule Mwanza au Tabora??? karibu!
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Jan 19, 2010 6,829 1,296 May 10, 2010 #7 Mwanamayu said: Nafikiri unamaanisha natumia Nswa - ndio kwa soda baridi aina ya Sprite! Click to expand... Mate yamenitiririka............mmmh wacha nimeze kidogo; FIHWA vinahusika sana; hata kwa ugali!
Mwanamayu said: Nafikiri unamaanisha natumia Nswa - ndio kwa soda baridi aina ya Sprite! Click to expand... Mate yamenitiririka............mmmh wacha nimeze kidogo; FIHWA vinahusika sana; hata kwa ugali!