Salama Jabir ayaita magazeti ya Global Publishers 'Magazeti ya bei rahisi'

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
Yule mtangazaji wa siku nyingi atuma dongo kwa magazeti ya UDAKU hasa hasa yanayomilikiwa na global publisher na kiu na amani ambayo yanaandika sana habari za mastaa wa movie kua ni magazeti ya bei rahisi. Inshu hiyo imetokea katika kipindi chake (huyo Mtangazaji wa zamani) cha mkasi kinachorushwa na EATV

sasa sikilizia majibu yake kutoka kwa Mzee

Mkasi - S01E01 with iRene Uwoya - YouTube

RISASI MCHANGANYIKO NA DADA ZAKE WAZEE WA KIU YA JIBU

YETU MACHO
 
salama bana she is talented kusema kweli.... nimekipienda kipindi.. nitakuwa nakifuatia kwenye you tube
 
It was interesting to note that Irene Uyowa alisema kwamba shule ilikuwa ni kitu cha kumpotezea muda!!!

These are Bongo celebrities! What do you expect from their movies!!!
 
Salama, is gear, kama broadcaster, mimi sina maneno, labda useme mengine, maana wabongo....... Most of us are not trained to think positive........
 
pamoja sana huyu shosti alikuwa anaponda shooting za kibongo kiasi kwamba kila akawaanajipanga kweli kweli kwa ufupi kajitaidi kuwaelimisha wasanii kwenye vids..
 
Yule mtangazaji wa siku nyingi atuma dongo kwa magazeti ya UDAKU hasa hasa yanayomilikiwa na global publisher na kiu na amani ambayo yanaandika sana habari za mastaa wa movie kua ni magazeti ya bei rahisi. Inshu hiyo imetokea katika kipindi chake (huyo Mtangazaji wa zamani) cha mkasi kinachorushwa na EATV

sasa sikilizia majibu yake kutoka kwa Mzee

Mkasi - S01E01 with iRene Uwoya - YouTube

RISASI MCHANGANYIKO NA DADA ZAKE WAZEE WA KIU YA JIBU

YETU MACHO

Salama kiboko. ila mademu wanamshobokea kweli. Bijoux, yule aliyemtukana mumewe shoga juzi sijui nani...wote kapitia....nimeshukuru kampasha shigongo
 
What is wrong with Shigongo? Salama did not point directly on him! Hayo magazeti yako mengi sio ya Shigongo tu!
 
Kwa kweli last wk nilipata wageni nyumbani, mmoja akaenda jikoni akarudi na gazeti la udaku. I was so embarrassed kukutwa kitu kama hicho kwangu! I almost strangled my maid. Nina kazi ya kumsakia vitabu vya learn english! Ni aibu kusoma yale makitu!
 
[/B][/I][/U]

What is wrong with Shigongo? Salama did not point directly on him! Hayo magazeti yako mengi sio ya Shigongo tu!
huwezi kumtenganisha shigongo na udaku wa kidhalilishaji... it will be like kumtenganisha
nape na upuuzi
 
Kwa kweli last wk nilipata wageni nyumbani, mmoja akaenda jikoni akarudi na gazeti la udaku. I was so embarrassed kukutwa kitu kama hicho kwangu! I almost strangled my maid. Nina kazi ya kumsakia vitabu vya learn english! Ni aibu kusoma yale makitu!

Nakubaliana na wewe kabisa, I take 5 minutes to read the gazeti... lakini....

Sema taratibu wasikusikie... uliza siri ya urembo: Those makitu are best sellers! For the publishers, what is better than money? You puiblush rubbish and turn out to be a milliionaires, who cares!
 
Back
Top Bottom