Salam kwa Polisi na taratibu zake

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
712
331
Kwa nini Jeshi la Polisi linamchunguza kwanza mtuhumiwa kabla ya mtuhumu? Nimeona Polisi wakiwa mstari wa mbele sana kwa kuchunguza mtuhumiwa kwa njia mbalimbali na sijasikia mtuhumu  akichunguzwa. Je hii si changamoto kwa uvunjaji wa haki za binadamu ndugu wanaharakati? nasma hivyo kwa sababu wakati mwingine mtuhumu anaweza kutoa maelezo ya uchochezi kwa ajili ya utetezi wakati kweli yeye ndio mkosaji na amewahi kufungua mashtaka.
 
Nchi hii imeuzwa kaka,kila kilicho baki tanzania sasa ni jina tu,hakuna la maana huu ni wito wangu kwa watanzania popote pale mlipo tuamke na kudai kudai uhuru wa nchi hii bila kujal kama wewe ni nan hapo ulipo, uwe mwanajeshi, polisi,usalama,magereza,mgambo, mwl,mwanafunzi,muuza maji,muuza mayai amka nakudai uhuru,wote wenye silaha mitaani hakuna kurudisha store kwa mfano gari moja inayopita mtaan kila siku ikiwa na askari wenye silaha inatosha kuanzisha mageuzi ya utawala wa kifisadi,kwa sababu hawa jamaa wana njaa.
 
Mtuhumu anapopeleka malalamiko yake Polisi, baadae anaulizwa alete mashahidi/ushahidi wa kutihibitisha tuhuma zake,
Pia mtuhumiwa uhojiwa kuhusiana na tuhuma zinazomkabili, wakati wa upelelezi,
Baada ya hapo jalada upelekwa kwa mwanasheria wa serikali kuona kama kuna jinai imetendeka
Hivyo wote Mtuhumiwa na Mtuhumu wanachunguzwa, kwa tuhuma iliyopo mbele ya Polisi
 
Back
Top Bottom