Salaams wana JF

imanisilver

New Member
Jun 5, 2009
4
0
Wana JF,
Napenda kuwapongeza wote kwa kazi nzuri na michango mingi yenye kujenga. Nimekuwa msomaji wa muda mrefu sana.
Nimeona nijiunge nanyi ili niweze kuchangia.
Siko anony...ni mwandishi, mchumi, mwalimu, mjasiriamali na analyst hivyo nitafurahi kupata wasaa wa kushirikiana nanyi ili niweze kujifunza zaidi.
Wasalaam,
I
 
Karibu sana ndani ya JF. Wewe ni analyst wa maswala gani???
 
The Farmer,

Hasa ni katika masuala ya uchumi wa maendeleo, biashara na ujasiriamali.
 
Back
Top Bottom