salaam zenu wanajf!!!

beibe nasty

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
1,640
523
jaman kama wiki iliopita nilivoweka thread ya mimi kurudi nyumban basi hatmae nasty nipo uswahilin kwetu huku ila tuu ninasalamu nyingi sana kutoka kwa mamaangu mzazii, anawasalimu saana. Tena my judgement mama kasema kama itawezekana uje mjin. Mi nimewamis tuu mepata majukumu tuu nyumbani ila nect weekmichakato itaanza.
 
Mai Hun mekupata hivi muda huu ndiyo niko Mbezi kwa Yusufu , naja kwa gari binafsi !

Muume sikio Mama mzaa chema ugeni punde hivi !
Lile Jogoo uliloniambia msilielekeze kibla leo, lile mtanichinjia kesho J'2 , mi naja na Nyama nimeinunua pale
Mbande- Kongwa.
Nipe utaratibu wa malazi my WIFE .
 
hun kuna chumba hapa kipo waz so ndo nakuandalia. Na jogoo tumemuacha love halaf usisahau kuja na ule mzigo beib
 
jaman kama wiki iliopita nilivoweka thread ya mimi kurudi nyumban basi hatmae nasty nipo uswahilin kwetu huku ila tuu ninasalamu nyingi sana kutoka kwa mamaangu mzazii, anawasalimu saana. Tena my judgement mama kasema kama itawezekana uje mjin. Mi nimewamis tuu mepata majukumu tuu nyumbani ila nect weekmichakato itaanza.

mith u kipenz,me mwenyewe stil nipo jijin km vp tutaftane!
 
hun kuna chumba hapa kipo waz so ndo nakuandalia. Na jogoo tumemuacha love halaf usisahau kuja na ule mzigo beib

Umemaliza maneno Swirry , kila kitu naja nacho!
Sisubutu kusahau! Na hivi najua leo KILALO tupa kulee!
 
Back
Top Bottom