Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 56
Mzee kasori, heshima mbele mkuu! Huyu Lowassa aliangushwa vibaya sana mwaka 1995, na hakuna alietarajia kuwa angerudi katika ulingo wa kisiasa! FISADI alirudi kwa kishindo na akapanda ngazi alizozipanda hadi kuwa Waziri mkuu! achilia mbali mali alizojilimbikizia mara tu baada ya CCM kuwa na uelekeo wa ki-fisadi! Maneno uliyoyatamka hapa umeyatoa wakati muafaka sana maana tayari alikwisha andaliwa madaraka mapya!! Mzee wetu kasori NAKUSHUKURU SANA KWA KUINUSURU NCHI YETU!... Ewe Fisadi LOWASSA this time HAKUNA KURUDI... TOKAAA EWE PEPO MCHAFU UNYONYAE WANYONGE WA NCHI HII!!!!!!GO GO NEVER EVER COME BACK!!!
Poor Lowasa, atanunua kila mwandishi wa habari lakini hakuna cha kumsafisha hata akitumia nyukilia bomb bado atabaki yule yule mchafu kama pal wake ROstam Azizi!