sala zinahijika....

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Kwa habari za uhakika nikwamba walio enda nje kwa matibabu hawatarudi kwa hali inavyoonyesha na lengo la wa2 flani walio wawekea sumu nikuwa wawili kati ya walioenda walirudi salama coz waliiwahi sumu ile mmojawapo ni "Makufuli"....habari ya sahivi mmoja wa waliobaki na kurudi ni kushney ameanza kunyonyoka nywele zote za kichwani! Urais 2015 noumaaar na kile chama mnachoona ndo chaukweli "CDMA" kinafadhiliwa na huyo anae wekea wenzake sumu na akipata msitegemee kwenye chama chake tusitegemee ataangushwa na CDMA cz anamkwanja na ameshika na hiyo CDMA.... Wenye akili watabisha ila baada ya miezi kama 4 mtaukubali ukweli wangu! Samwel Sitta walimshindwa mzee nuksi amakweli chuma cha pua! Asinitukane m2 wala kunikosoa......na na na february pia yuko upande wa mweka sumu na na na aaa ntawataja wote! Wakuu privacy wangu kwanza wasije niua na mm!
 
unaandika kama unakimbia vile...hebu tafuta mti wenye kivuli kikubwa ukae chini na uanze kuandika upya..au pitia bandiko lako hili uediti
 
Wajameni usalama wangu! Huu siyo utani kabixaaaa! Kama walihonga wa2 waweke sumu kwenye vyakula vya majembe yetu wakawalipa mahela ya kufa mtu usipime sembuse kunitrace mm? Huu mtandao kwao nikitu kidogo hii email nayotumia ina I'd yangu!
 
kwanza unonekana kama unakimbia sasa sijui umeandikaje?
kama ni desktop huwezi,laptop huwezihata phone sidhani unatumia kiti gani kuandika?
 
Hahahahaa situmii "kiti" nilixema sitaki coment ilikuwa muhtasari mfupi tuu! Na mwenye akili ndogo kama masaburi ya mtt atacoment ujinga tena
 
Kwa habari za uhakika nikwamba walio enda nje kwa matibabu hawatarudi kwa hali inavyoonyesha na lengo la wa2 flani walio wawekea sumu nikuwa wawili kati ya walioenda walirudi salama coz waliiwahi sumu ile mmojawapo ni "Makufuli"....habari ya sahivi mmoja wa waliobaki na kurudi ni kushney ameanza kunyonyoka nywele zote za kichwani! Urais 2015 noumaaar na kile chama mnachoona ndo chaukweli "CDMA" kinafadhiliwa na huyo anae wekea wenzake sumu na akipata msitegemee kwenye chama chake tusitegemee ataangushwa na CDMA cz anamkwanja na ameshika na hiyo CDMA.... Wenye akili watabisha ila baada ya miezi kama 4 mtaukubali ukweli wangu! Samwel Sitta walimshindwa mzee nuksi amakweli chuma cha pua! Asinitukane m2 wala kunikosoa......na na na february pia yuko upande wa mweka sumu na na na aaa ntawataja wote! Wakuu privacy wangu kwanza wasije niua na mm!
tupe chanzo cha habari hiyo miezi minne ya kusubiria nawezakuwa nimekufa kabla ya hao wagonjwa
 
Kwa habari za uhakika nikwamba walio enda nje kwa matibabu hawatarudi kwa hali inavyoonyesha na lengo la wa2 flani walio wawekea sumu nikuwa wawili kati ya walioenda walirudi salama coz waliiwahi sumu ile mmojawapo ni "Makufuli"....habari ya sahivi mmoja wa waliobaki na kurudi ni kushney ameanza kunyonyoka nywele zote za kichwani! Urais 2015 noumaaar na kile chama mnachoona ndo chaukweli "CDMA" kinafadhiliwa na huyo anae wekea wenzake sumu na akipata msitegemee kwenye chama chake tusitegemee ataangushwa na CDMA cz anamkwanja na ameshika na hiyo CDMA.... Wenye akili watabisha ila baada ya miezi kama 4 mtaukubali ukweli wangu! Samwel Sitta walimshindwa mzee nuksi amakweli chuma cha pua! Asinitukane m2 wala kunikosoa......na na na february pia yuko upande wa mweka sumu na na na aaa ntawataja wote! Wakuu privacy wangu kwanza wasije niua na mm!
Hadithi hii kakufundisha nani...??? Na kasema ina maana gani.........????
 
Inawezekana mpaka unaandika humu tayari nawe umekwishalishwa hiyo sumu na unasubiri matokeo yake tu ndio maana unabwabwaja hapa.
 
Wajameni usalama wangu! Huu siyo utani kabixaaaa! Kama walihonga wa2 waweke sumu kwenye vyakula vya majembe yetu wakawalipa mahela ya kufa mtu usipime sembuse kunitrace mm? Huu mtandao kwao nikitu kidogo hii email nayotumia ina I'd yangu!

Nikiona aina hii ya uandishi nakuwa discouraged mno na nashusha credibility ya habari iliyomo.Serengeti boys mnaweza kujaribu kujirekebisha na huu uandishi wenu? JF kuna watu wa aina zote hadi wastaafu siyo Face book hapa!
 
Kwa habari za uhakika nikwamba walio enda nje kwa matibabu hawatarudi kwa hali inavyoonyesha na lengo la wa2 flani walio wawekea sumu nikuwa wawili kati ya walioenda walirudi salama coz waliiwahi sumu ile mmojawapo ni "Makufuli"....habari ya sahivi mmoja wa waliobaki na kurudi ni kushney ameanza kunyonyoka nywele zote za kichwani! Urais 2015 noumaaar na kile chama mnachoona ndo chaukweli "CDMA" kinafadhiliwa na huyo anae wekea wenzake sumu na akipata msitegemee kwenye chama chake tusitegemee ataangushwa na CDMA cz anamkwanja na ameshika na hiyo CDMA.... Wenye akili watabisha ila baada ya miezi kama 4 mtaukubali ukweli wangu! Samwel Sitta walimshindwa mzee nuksi amakweli chuma cha pua! Asinitukane m2 wala kunikosoa......na na na february pia yuko upande wa mweka sumu na na na aaa ntawataja wote! Wakuu privacy wangu kwanza wasije niua na mm!

Usitanie watu, eleza nani kakujuza habari hizi au ondoa
 
Wajameni usalama wangu! Huu siyo utani kabixaaaa! Kama walihonga wa2 waweke sumu kwenye vyakula vya majembe yetu wakawalipa mahela ya kufa mtu usipime sembuse kunitrace mm? Huu mtandao kwao nikitu kidogo hii email nayotumia ina I'd yangu!

Mkubwa! Hebu someka basi! Mbona kama una makengeza???? Karibu tena!
 
sijaelewa ulipo kuwa unapost hii thread ulikuwa na maana gani?!!

Back
Top Bottom