sala za waliochoka..

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
'Baba Yetu Uliye Mataifa Ya
Mangharibi.......
Utupe leo Msaada Huku Tuna Njaa
Hatushibi....
Tukienda Kinyume Na Wewe Utuite
Magaidi.... Wenye Akili Kama Mugabe
Kuwakandamiza Uzidi....
Upumbavu Wa Kisasa,Ona Siasa Zina
Bleed.....' #EXCELLENT
 
Back
Top Bottom