Sala maalum kwa ajili ya dadaetu regia;kama member naomba tusali kwa ajili ya familia ya mtema

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
yaani naangalia nasikia mtu ananitoa roho jamani inavyouma binti mchanga kichwa origin na si cha kudesa kama vilivyosalia humu Mungu ampe Wepesi huko aliko ni wakati wetu sisi tuliobaki duniani tukihuuzunika tumejiandaaje kuelekea huko alipo dada yetu pengine wamlilia leo usimwone milele lakini sisi imani inatumbia heri wafao katika bwana ,Mchungaji mmoja alienda kwenye msiba wa Jirani yake na baada yahapo akaenda kumzika mdogo wake akaambiwa mbona huu msiba wa mdogo wako ulii sana kama ulipotoka akasema yafuatayo

""Mdogo wangu alitengeneza maisha yake mema akiwa duniani naamini nami nitakutana nae lakiniyule jiranyangu ameniuzia kiamba nilimpenda sana sana namlilia si kwa sababu amekufa bali sitomwona tena ..so sisi wenye matumaini najua wana JF tumeumia sana sana ni wakati kuamini dadaetu mpendwa kipenzi yuko kwa baba na soon mmoja wa jf member atamfwata huko aliko atuna budi kumwomba Mungu atupe nguvu hasa wakati wa kuaga jua ndugu watalia sana sana Lakini Yesu atowaacha

Mzee Estelatus
Mungu alie hai anawapenda anawajali na anajua maisha yako an mama yanapoelekea ,Naomba nichukue usiku huu kuombea familia yenu hasa wakati huu mgumu wa huzuni sina Budi kuwapa Moyo Mungu anawapenda na tuamini dadaetu kipenzi amefika kwa baba alimleta hapa Duniani .......Alioacha dada yetu atuna budi kuyafwata na kuyaendleza Hekima zake ,Busara zake na mwisho UPENDO wa AGAPE aliokuwa nao ni wakati muhimu wa kuuendeleza naomba ukiwa kama mwana JF chukua dk 2 kusali sala hii kwa ajili ya familia yetu kwa siku ya kesho na mpaka watkapo mlaza dadaetu kwenye nyumba ya milele

""MUNGU WETU NA BABAYETU WA MBINGUNI,MUNGU ULIE HAI WEWE NI ALFA NA OMEGA MWANZO NA MWISHO
TAZA TUNAOMBA WAKATI HUU KAMA NENO LAKO LINALOSEMA WAKUTANIAPO WAWILI WATATU WE UPO PAMOJA NASI
WAKATIMWINGINE NAOMBA UWAPE NGUVU FAMILIA HII YA MZEE WETU MTEMA AMBAO WAMEMPOTEZA MTOTO WAO KIPENZI
DADA ETU RAFIKIETU REGIA ,MUNGU BABA ATUNA CHA KUKUPA ILA TUNASEMA AHSANTE KWA KILA JAMBO TUKIAMINI
WEWE NDIE ULIEMLETA NA WE WE NDIE ULIMECHUKUA TUNAOMBA UWAPE NGUVU FAMILIA HII MARAFIKI JAMAA MAJIRANI NA HATA WALE MAADUI WA REGIA WALIOBAKI DUNIANI TUNAOMBA UWASAMEHE KAMA ULIVYOMSAMEHE DADA ETU HUKO ALIKO
NAOMBA KWA JINA LA YESU
NATAKASA VYOMBO VYA USAFIRI VINAVYOENDA KUTUMIAKSIKU YA KESHO
NATAKASA KILA ADUI ATAKAESOGEA KWA LENGO BAYA
NINAAMURU NGUVU ZAKO ZIKAPATE KUWALINDA TANGU WATOKAPO TABATA MPAAAKA KARIMJEE KUELEKEA MOROGORO WASAIDIE HATA WALE WASIO NA UWEZO LAKINI WALITAMANI KWENDA KUMUAGA DADAETU HUKO ALIKO MWENYEZZI MUNGU TUNAOMBA UWAPE NGUVU ,KAMA WAAMINI NASI TUSEME

AMENIIIIIIIIIIIIIIII
 
Kweli wakati wa majonzi busara huchanua...sala uliyotuongoza na iwe nuru ikumulikie nawe...
 
Aksante kwa sala nzuri PDiddy!
Tuliopo bado huku juu na tuchote Busara hapo!
 
yaani naangalia nasikia mtu ananitoa roho jamani inavyouma binti mchanga kichwa origin na si cha kudesa kama vilivyosalia humu mungu ampe wepesi huko aliko ni wakati wetu sisi tuliobaki duniani tukihuuzunika tumejiandaaje kuelekea huko alipo dada yetu pengine wamlilia leo usimwone milele lakini sisi imani inatumbia heri wafao katika bwana ,mchungaji mmoja alienda kwenye msiba wa jirani yake na baada yahapo akaenda kumzika mdogo wake akaambiwa mbona huu msiba wa mdogo wako ulii sana kama ulipotoka akasema yafuatayo

""mdogo wangu alitengeneza maisha yake mema akiwa duniani naamini nami nitakutana nae lakiniyule jiranyangu ameniuzia kiamba nilimpenda sana sana namlilia si kwa sababu amekufa bali sitomwona tena ..so sisi wenye matumaini najua wana jf tumeumia sana sana ni wakati kuamini dadaetu mpendwa kipenzi yuko kwa baba na soon mmoja wa jf member atamfwata huko aliko atuna budi kumwomba mungu atupe nguvu hasa wakati wa kuaga jua ndugu watalia sana sana lakini yesu atowaacha

mzee estelatus
mungu alie hai anawapenda anawajali na anajua maisha yako an mama yanapoelekea ,naomba nichukue usiku huu kuombea familia yenu hasa wakati huu mgumu wa huzuni sina budi kuwapa moyo mungu anawapenda na tuamini dadaetu kipenzi amefika kwa baba alimleta hapa duniani .......alioacha dada yetu atuna budi kuyafwata na kuyaendleza hekima zake ,busara zake na mwisho upendo wa agape aliokuwa nao ni wakati muhimu wa kuuendeleza naomba ukiwa kama mwana jf chukua dk 2 kusali sala hii kwa ajili ya familia yetu kwa siku ya kesho na mpaka watkapo mlaza dadaetu kwenye nyumba ya milele

""mungu wetu na babayetu wa mbinguni,mungu ulie hai wewe ni alfa na omega mwanzo na mwisho
taza tunaomba wakati huu kama neno lako linalosema wakutaniapo wawili watatu we upo pamoja nasi
wakatimwingine naomba uwape nguvu familia hii ya mzee wetu mtema ambao wamempoteza mtoto wao kipenzi
dada etu rafikietu regia ,mungu baba atuna cha kukupa ila tunasema ahsante kwa kila jambo tukiamini
wewe ndie uliemleta na we we ndie ulimechukua tunaomba uwape nguvu familia hii marafiki jamaa majirani na hata wale maadui wa regia waliobaki duniani tunaomba uwasamehe kama ulivyomsamehe dada etu huko aliko
naomba kwa jina la yesu
natakasa vyombo vya usafiri vinavyoenda kutumiaksiku ya kesho
natakasa kila adui atakaesogea kwa lengo baya
ninaamuru nguvu zako zikapate kuwalinda tangu watokapo tabata mpaaaka karimjee kuelekea morogoro wasaidie hata wale wasio na uwezo lakini walitamani kwenda kumuaga dadaetu huko aliko mwenyezzi mungu tunaomba uwape nguvu ,kama waamini nasi tuseme

ameniiiiiiiiiiiiiiii
ameeeeeeeeeeen, asante baba wa mbinguni kwa kutusikia!
 
Back
Top Bottom