Sakata la Vyeti: Waziri Palamagamba Kabudi atajwa kuwasilisha vyeti pungufu

C_P297hXYAAoSXo.jpg


Ndalichako naye anatakiwa akabidhi Wizara Juzi Kupitia Wizara yake walikana kwa hiyo Barua lakini Majina yote haya hapa yeye hakujua?
 

Attachments

  • Taasisi_INCOMPLETE.pdf
    555.4 KB · Views: 67
Upande mwingine hili zoezi lilikua la kipumbavu. Unataka professor asubmit chet cha form 4 ili iweje ? Na je mtawatafuta wote walio simamiwa naye PhD na masters for disqualification .? Narudia tena hili zoezi halina maana

Ili kuona flow au stages zote za elimu yake kama hazina utata.
 
We Jamaa kumbe ni Kilaza Kiasi hiki kama Mwenyekiti wenu tuu wa Darasa la 7 angalia namba 592 unaiyoizungumzia

View attachment 506448
Mkuu,usichanganye,kuna ya taasisi,achana na hizo za Halmashauri. Za taasisi kama EWURA,TRA,TAZARA,TBS,TBC,BMT,TANROADS,DIT,TCA,TAAA,TANAPA,MUST,UDSM,UDOM,IFM,CBE,TIA,SUA,MZUMBE,MUHAS nk. Inaonyesha watu wengi hawakukamilisha nyaraka ndiyo maana ni INCOMPLETE,sasa inaweza kuwa:-
-Hawakuambatanisha cha Form Four
-Watu wa HR wali misplace
-Wahusika hawana kabisa au wamepotelewa au vimeharibika.
Cha msingi watafanya Resubmission.
 
Mimi niliwahi kusoma na kilaza moja na form four akapata division zero kabisaaa lakini mara nikasikia babake kamfanyia mpango akaenda Marekani. Baada ya miaka kama kumi hivi akarudi nchini na PhD ya political Science na kuwa mkuu wa kitivo cha sayansi ya siasa. Kama kawaida alianza kudai hana muda wa kuongea na vilaza lakini kwa tuliomfahamu toka awali alikuwa anatukwepa akituogopa kama ukoma.
 
Mkuu kichwa chako cha habari hakiendani na mchango wako. Hawa wana taarifa ambazo sio kamilifu, nadhani kuna vyeti vimekosekana na sio kwamba wana vyeti feki. Naamini hivyo ni vitu viwili tofauti.
Ni kweli, ila usisahau kuwa asilimia kubwa ya watumishi ambao hawakupeleka vyeti vyao Wizara kupitia Katibu Mkuu & NECTA ilisema kuwa wapeleke INDEX NO. tu, kwa sababu ni kweli kuwa katika movement za 'kibinadamu' unaweza kuvipoteza, hata hiyo namba alishindwa kutuma, acha kupeleka maana yawezekana yupo too busy kuliko ubize wenyewe! Ndio maana conclusion ya wote ambao hawakuonesha ushirikiano ktk hilo ni kuwa 'hawajawahi kuwa na vyeti/elimu hiyo'. Twende kazi!
 
Hahusiki, yeye ni mbunge na waziri,anatakiwa ajue kusoma na kuandika. Hapo mshahara atakosaje
Hii imepitia chuoni mkuu, hapo si pameandikwa UDSM? Sio wizara, angalia kwa umaakini. Hapa alihakikiwa kama watumishi wengine, hata huo uwaziri alikuwa hajafikiriwa! Labda useme kuwa hii haitamuathiri kwa kuwa yeye sasa ni Waziri, aka 'kujua kusoma na kuandika', Mh, Mungu atusaidie!
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Prof. Kabudi ana vyeti feki.

Alikuwa ni mmoja wa wanafunzi wa mzee wangu hapo UDSM.

Yule mzee asingeweza kufundisha mtu asiye na sifa za kimasomo na mtu huyo aka survive UDSM ya enzi hizo hadi kubakishwa na kuwa mhadhiri.

Yaaani haiwezekani kabisa hiyo. Hivyo, kwa mamlaka naweza kusema hizo habari ni uzushi tu.

Wamkosoe Profesa kwenye mambo mengine [siasa, kauli zake, mdomo kujaa mate , na mengineyo] lakini si academic credentials zake.
 
ila watanzanian wengi ni vilaza, wanafiki...hamna hanari ya cheti feki hapo

wakati wa uhakiki hawakupeleka hivyo vyeti kwa sababu mbalimbali

walikuwa bize
walikiwa nje ya nchi
wamesoma nje hivyo necta wanahakiki na aliosoma

status inaonyesha ni incomplete, haina maana ni vyeti feki
Mmhh! Kweli? Watanzania tungekuwa tuna kasumba ya kuteteana hivi (UTAIFA kwanza, itikadi baadaye) tungekuwa mbali sana kimaendeleo. May be!
 
Kwanini watanzania tunapenda sana kufurahia mwenzako anapokuwa na tatizo fulani ??
 
Back
Top Bottom