Sakata la umeme - Kinshasa inawasha mishumaa

issenye

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
3,781
5,205
[h=1][/h]
Makundi ya wanaharakati katika Jamhuri ya Demokrasi ya Congo, yametoa wito kwa wakaazi wa mji mkuu, Kinshasa, kuwasha mishumaa leo usiku, kulalamika juu ya kukatwa kwa umeme.

Ingawa Congo ina miporomoko ya maji inayoweza kuzalisha umeme mwingi, hata hivo mitambo iliyochakaa na kina cha maji kupungua kwenye mabwawa makuu, kumepunguza umeme na hivo kuathiri biashara, hospitali na shughuli nyengine.
Kila mmoja kati ya wakaazi milioni 10 wa Kinshasa wameombwa wawashe mishumaa wakati mmoja, kwenye barabara, nyumba, maduka na roshani.
Wanaharakati wanataraji mishumaa italeta mwangaza katika mji ambao mara nyingi uko gizani.
Wasiokuwa na mishumaa wameshauriwa kugonga sufuria.
 
Mkuu sio kinshasa tu, Nairobi na hata kampala hakuna umeme ! halafu utashangaa wasaliti wa nchi waliomo humu ndani wanaiponda serikali
 
Na msaliti wa kwanza ni wewe. Unataka tuipe serikali kahawa au chai kwa kazi nzuri inayofanya? au?
 
<font color="#a52a2a"><b>Mkuu sio kinshasa tu, Nairobi na hata kampala hakuna umeme ! halafu utashangaa wasaliti wa nchi waliomo humu ndani wanaiponda serikali</b></font>
<br />
<br />
We ma***o nini?kwa hiyo jilani yako akilala njaa na wewe kwako huli wakati una uwezo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom