MPIGA ZEZE
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 2,539
- 2,296
Kama taifa tumeshindwa kujijengea uwezo wa teknolojia (tu tegemezi), mitaji watu na mitaji pesa ya kuwekeza katika sekta mbalimbali (tu tegemezi), tukubali kuwa tutaendelea kuibiwa kila siku. Sisi tumewekeza kwenye maneno mingi, siasa na propoganda - MAISHA BORA KWA KILA MBONGO! MALARIA HAIKUBALIKI, UKIMWI HAUKUBALIKI, MADAWA YA KULEVYA HAYAKUBALIKI, TZ YA VI-WONDER, HAPA KAZI TU. CCM OYEE, ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITISafi saana lazima tujue mbivu na mbichi sio kila siku kutuibia tu