Sakata la Makonda na Utapeli wa Gari: Kamwelwe(Mwenye gari) anadaiwa ni mkimbizi, tapeli na katimuliwa Burundi

Marudio ya sinema kama yale mambo ya kipindi kile mtumishi mkono wa baunsa na ya mama mtoto wa nje. Same swaga same style
 
Hapo hoja ya msingi iwe ni work up call kwa serikali kuanza kufatilia wazamiaji wenye passport OG za Tz. Makonda hapo siyo ishu kwani ana madudu mengi ya kujibu
Acha uzandiki dhidi ya makonda. Hii case inaonyesha tu aina ya watu wanaomwandama makonda. Wauza madawa na fisadi.
 
View attachment 2391363
SAKATA LA MAKONDA! WAKO WAPI WAANDISHI WA HABARI ZA KIUCHUNGUZI?

Jamaa anaedai Kumdai Alokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu, Paul Makonda kumbe ni Tapeli na Kashatapeli wengi tu Hapa Nchini Tanzania.

Cha Ajabu ni Waandishi wetu kuandika Habari Nyepesi nyepesi na Kuacha Mambo ya Msingi sana yanayo Muhusu Bwana Kamwelwe.

Taarifa zinaonesha kuwa Kamwelwe ni Tapeli wa Kimataifa na Kwao ni Burundi, Watu waliotapeliwa na Mrundi huyo ni wengi sana. Lakini mshangao ni Kwanini tapeli aonekane Malaika wakati taarifa zake zinajulikana huko Mtaani?

Sio Wema tu aliewahi kulalamika wala siyo wafanya biashara wa Madini, Muhuni Kamwelwe kashawaliza Wengi sana Hapa Nchini mpaka akakimbia Tanzania baada ya Kujua anakaribia Kukamatwa kwa Utapeli wake.

Yani kila kona anatapeli huku akisafishwa ma magazeti wakati kumbe hata nchini kwake ni BURUDI.

Na Inasemekana huko Burundi kwao haruhusiwi kukanyaga Sababu Serikali ina Taarifa za Utapeli wake na Imemtimua.

Sasa Ajabu ni Mkimbizi anasumbua Raia wa Nchi yao na Taariza za Uchafu wake watu hawazichimbui.

Tizama hizi Nyaraka Muhuni alivyo Gushi.

Sauti kutoka NyikaniView attachment 2391364
Tukianza kukaguwa hakuna mtanzania atakaye salimika...rudisheni mali ya wizi
 
Utakuwa na tatizo kichwani wewe tupe ushaidi Wautapeli wake maana yeye kashatoa utapeli wa huyo ndugu yako Makonda na kila kitu kiko wazi, Hata hivyo hata kama ni tapeli anatakiwa haki yake ilindwe haijalishi kwamba ni Mrundi au mkenya kikubwa yupo hapa kwetu na anafanya kazi ya kuiletea maendeleo nchi
Acha ujuaji kijana, nafahamu roho mbaya yako dhidi ya Makonda, mimi sipo kutetea mtu hapa, tabia yako na wenzako wengi humu dhidi ya Mtanzania mwingine inafahamika.

Sasa wewe ukiambiwa ulete uthibitisho dhidi ya huyo sijui Makonda unao au ni bendera fuata upepo tu kisa kamnyang'anya mtu gari?.

Roho mbaya yako na uzandiki unao onyesha pamoja na wenzako huwa inaishia katikati ya maji, mwisho wa ubaya ni aibu, note this!.

Kati ya tuhuma za Makonda kupora gari na mporwaji kutuhumiwa kagushi nyaraka mara sijui ni tapeli zipi zimeanza kufika mahakamani?.

Makonda aeleze kwanza gari alilipataje baadae tuhuma za huyo ndugu zitashughulikiwa tu.
Wewe musigaji a.k.a kakijana unaandika ☯️🚮

Nikichokomenti ni kwa ajiki yako usijifanye hujui nani kaandika mada.

Hapa tunazungumzia utanzania not nani kaanza kushitakiwa, natambua jf kuna vijana wadogo kama wewe ila ukipata nafasi nenda nchi ya jirani kafanye uanithi wowote kwa mzawa wa huko ukiwa na uhalali with documents alafu uje utueleze hapa.
 
View attachment 2391363
SAKATA LA MAKONDA! WAKO WAPI WAANDISHI WA HABARI ZA KIUCHUNGUZI?

Jamaa anaedai Kumdai Alokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu, Paul Makonda kumbe ni Tapeli na Kashatapeli wengi tu Hapa Nchini Tanzania.

Cha Ajabu ni Waandishi wetu kuandika Habari Nyepesi nyepesi na Kuacha Mambo ya Msingi sana yanayo Muhusu Bwana Kamwelwe.

Taarifa zinaonesha kuwa Kamwelwe ni Tapeli wa Kimataifa na Kwao ni Burundi, Watu waliotapeliwa na Mrundi huyo ni wengi sana. Lakini mshangao ni Kwanini tapeli aonekane Malaika wakati taarifa zake zinajulikana huko Mtaani?

Sio Wema tu aliewahi kulalamika wala siyo wafanya biashara wa Madini, Muhuni Kamwelwe kashawaliza Wengi sana Hapa Nchini mpaka akakimbia Tanzania baada ya Kujua anakaribia Kukamatwa kwa Utapeli wake.

Yani kila kona anatapeli huku akisafishwa ma magazeti wakati kumbe hata nchini kwake ni BURUDI.

Na Inasemekana huko Burundi kwao haruhusiwi kukanyaga Sababu Serikali ina Taarifa za Utapeli wake na Imemtimua.

Sasa Ajabu ni Mkimbizi anasumbua Raia wa Nchi yao na Taariza za Uchafu wake watu hawazichimbui.

Tizama hizi Nyaraka Muhuni alivyo Gushi.

Sauti kutoka NyikaniView attachment 2391364
Serikali ya Tanzania wanafahamu kila kitu kuhusu kila raia wake na asiye raia.

Ukiona yupo bado nchini ujue hajakanyaga live wire.

Hojq uliyoiweka hapa siyo utetezi dhidi ya mashtaka aliyopeleka mahakamani. Kama ni majibu yake basi peleka mahakamani

Usiwachafue waandishi wa Tanzania ambao kipindi chote wanafanyakazi kwenye mazingira magumu na tatanishi na wengine wakipoteza maisha yao sababu ya watu aina ya Makonda
 
Mkuu

Wewe haujui kwamba sisi na warundi ni ndugu!?

Waha wa kigoma ni warundi rasmi wa Tanzania!?

Hata mama salma juzi alikuwa kwao na tetesi zinasema tumeungana!?

Hata Baba wa taifa ana Asili ya urundi na Rwanda!hujui!?

Mpatieni haki yake KWANZA!!!
 
View attachment 2391363
SAKATA LA MAKONDA! WAKO WAPI WAANDISHI WA HABARI ZA KIUCHUNGUZI?

Jamaa anaedai Kumdai Alokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu, Paul Makonda kumbe ni Tapeli na Kashatapeli wengi tu Hapa Nchini Tanzania.

Cha Ajabu ni Waandishi wetu kuandika Habari Nyepesi nyepesi na Kuacha Mambo ya Msingi sana yanayo Muhusu Bwana Kamwelwe.

Taarifa zinaonesha kuwa Kamwelwe ni Tapeli wa Kimataifa na Kwao ni Burundi, Watu waliotapeliwa na Mrundi huyo ni wengi sana. Lakini mshangao ni Kwanini tapeli aonekane Malaika wakati taarifa zake zinajulikana huko Mtaani?

Sio Wema tu aliewahi kulalamika wala siyo wafanya biashara wa Madini, Muhuni Kamwelwe kashawaliza Wengi sana Hapa Nchini mpaka akakimbia Tanzania baada ya Kujua anakaribia Kukamatwa kwa Utapeli wake.

Yani kila kona anatapeli huku akisafishwa ma magazeti wakati kumbe hata nchini kwake ni BURUDI.

Na Inasemekana huko Burundi kwao haruhusiwi kukanyaga Sababu Serikali ina Taarifa za Utapeli wake na Imemtimua.

Sasa Ajabu ni Mkimbizi anasumbua Raia wa Nchi yao na Taariza za Uchafu wake watu hawazichimbui.

Tizama hizi Nyaraka Muhuni alivyo Gushi.

Sauti kutoka NyikaniView attachment 2391364
Hata kama ni mkimbizi gari husika ni mali ya nani? Mkimbizi haruhusiwi kuwa na gari alikokimbilia? Kesi aliyofungua ina husu gari lake na siyo uraia wake, hebu weka vizuri utetezi wako.
 
Hapa ndipo unaweza kujua roho na akili za watanzania zilivyo.

Wapo radhi (kama kweli) jamaa ni tapeli asishikiliwe au kukamatwa hata kwa kugushi, kupata vitambulisho kisa tu Makonda.

Nilitegemea kuona komenti za akamatwe kwanza na wakati yupo rokapu ndipo mjadala wa gari uendelee but tupo negative na huyo 'sijui' mhalifu plus!
hahahaha,ndo akili za watanzania,tena hapo ndo uko ktk mtandao wa ma GT
 
Tunaojua Sarakasi za Kamwelwe tupo kimia, kea kifupi Tanzania Wahamiaji haramu kama Kamwelwe wapo weeeeengi na ni majambazi na Matapeli tuu. Alichokosea Kamwelwe kagusa High Voltage. Alitoa Range ili alindwe sasa kelele nini
 
Kwanza kabisa, hiyo passport ni FAKE...

Yeyote mwenye passport, double check it, na utakuta hizo namba nilizozungushia, ZINAFANANA!

Rashi.png

Mwanzoni nilidhani Passports za Burundi zipo tofauti na mataifa mengine, na hivyo nikalazimika ku-Google kupata sample or real Urundi Passports... HAZIPO TOFAUTI

Pass1.jpg

Pass2.png

Anyway, hizo passports zipo public domain kwahiyo sikuona sababu ya kuficha other details wakati wenyewe wameamua kuziweka hadharani.

Hata Wachina na mambo yao ya Kichina china, hizo namba zinafanana!!

Na hata Waarabu na uandishi wao wa kinyumenyume, nazo zinafanana, tofauti na nchi zingine, as you might guess, na zenyewe zinaandikwa upande wa chini kulia!!

The question is: Nani ka-fake hiyo passport yenye jina la Rahid Hakizimana?!

Ni huyo Kamwele au ni Genge la Makonda (kama sio mwenyewe na Lemutuz) ili kutaka kuonesha kwamba jamaa ni TAPELI OG?!

Ukiniuliza mimi, jibu langu ni HAKUNA TAPELI WA KIMATAIFA anayeweza kufanya stupid mistake kama hiyo.

Hivyo basi, Mleta Mada amemuita Tapeli wa Kimataifa kwa lengo moja tu>>> ukitaka kumuua mbwa, basi mpe jina baya!

Isitoshe, sidhani kama kupata passport ya Burundi ni ngumu kiasi hicho hadi mtu afikie kununua fake passport! Na hata hizo fake passports HAZIWEZI kuwa na mistake ya kijinga kama hiyo!

So, kwa mamlaka niliyojipa mwenyewe, ushahidi wa passport hapo juu unapaswa kupuuzwa kwa sababu Mleta Mada anatumia ushahidi wa passport kuonesha Kamwele ni Mrundi wakati passport yenyewe ni fake!!

Na kwavile anajaribu kuonesha Kamwele ni tapeli kwa kutumia tofauti ya majina yaliyopo kwenye fake passport na leseni ya udereva, madai hayo ya utapeli na yenyewe hayana maana yoyote kwa sababu, kwa mara nyingine, reference yake ni hati ya kughushi!

Lakini hata kama kweli ni Mrundi bado hiyo haitoshi kumnyima haki yake kwa sababu hujatoa ushahidi wowote kuonesha kwamba jamaa ni tapeli lakini ni miezi michache tu iliyopita, Makonda alikumbwa na suala kama hili, na lipo officially documented!
 
Kwanza kabisa, hiyo passport ni FAKE...

Yeyote mwenye passport, doublecheck it, na utakuta hizo namba nilizozungushia, ZINAFANANA!

View attachment 2391612

Mwanzoni nilidhani Passports za Burundi zipo tofauti na mataifa mengine, na hivyo nikalazimika ku-Google kupata sample or real Urundi Passports... HAZIPO TOFAUTI

View attachment 2391614

View attachment 2391615

Anyway, hizo passports zipo public domain kwahiyo sikuona sababu ya kuficha other details wakati wenyewe wameamua kuziweka hadharani.

Hata Wachina na mambo yao ya Kichina china, hizo namba zinafanana!!

Na hata Waarabu na uandishi wa kinyumenyume, nazo zinafanana, tofauti na nchi zingine, as you may guess, na zenyewe zinaandikwa upande wa chini kulia!!

The question is: Nani ka-fake hiyo passport yenye jina la Rahid Hakizimana?! Ni huyo Kamwele au ni Genge la Makonda (kama sio mwenyewe na Lemutuz) ili kutaka kuonesha kwamba jamaa ni TAPELI OG?!

Ukiniuliza mimi, HAKUNA TAPELI WA KIMATAIFA anayeweza kufanya search minor mistake.

Isitoshe, sidhani kama kupata passport ya Burundi ni ngumu kiasi hicho hadi mtu ufikie kununua fake passport!

Na ukiamini kwamba ni fake passport basi hata madai kwamba ni Mrundi nayo yana mashaka kwa sababu hapa unatuaminisha kwamba ni Mrundi kwa kutumia fake passport!

Lakini hata kama ni Mrundi bado hiyo haitoshi kumnyima haki yake kwa sababu hujatoa ushahidi wowote kuonesha kwamba jamaa ni tapeli lakini ni miezi michache tu iliyopita, Makonda alikumbwa na suala kama hili, na lipo officially documented!
Niliperuzi kutafuta hii great thinking. Maana naona watu wanaparamiana bila kuangalia details. Good questioning! Hapa ndiyo pa kuanzia!
 
Back
Top Bottom