pansophy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 502
- 320
Hata huyu nae mnasema anamgwaya mwikulu?Kuna external factors zinazo ingilia utendaji kazi wa wataalam wetu. Hiyo ni side effects ya Sauti Kuu iliyojichimbia kuliko nyingine.😁😁
Hata huyu nae mnasema anamgwaya mwikulu?Kuna external factors zinazo ingilia utendaji kazi wa wataalam wetu. Hiyo ni side effects ya Sauti Kuu iliyojichimbia kuliko nyingine.😁😁
Thank you for seeing this.Nilikuwa naombea siku zote tusifikie hii hatua. Something very serious must be done NOW !!!
Kweli aisee jk alikuwa bingwa was kupoteza maada Tata Kama hiziHii ngoma inakoenda sio kwenyewe
God forbid!!!
Hivi ndugai kwann asiipotezee kama Mzee JK aiseh
Inatufundisha ccm ni majizi tu.Ufisadi wote unawekwa wazi na fedha zinajulikana zimetoka wapi zimekwenda wapi/kwanani, lakini CAG mwenyewe alipoulizwa akiwa Ikulu alishindwa kusema fedha zimekwenda wapi. Hii inakufundisha nini?
Hakika! Na ninapata hofu maana nashindwa kutabiri mwisho wake utakuajeMovie inaendelea
Wewe ni mtoto wa Ndugai? Hii lugha aliyoitumia kumuita Assad Mbwa, itamgharimu.Hawa sasa, ni udini siyo tena analytical mind! Sheikh na CAG na Spika wapi na wapi? Hawa wapambane na yao huko misikitini na makanisani. Mbona hawakumtetea Sheikh mkuu wa Dar wakati anapakazwa na Kimambi? Iweje huyu mwajiliwa wa serikali?
Jamaa atulie tu asiendeleze tena haya mambo, amwache CAG awatumikie was TZ.Hakika! Na ninapata hofu maana nashindwa kutabiri mwisho wake utakuaje
Hiyo ukimuangalia tu usoni unajua cd4 hamna hapo,dalili zote anazo mpka lips zimekua nyekunduKatika walionielewa ni wewe
Yule bwana (japo siombei )ila tayari kesha kata tamaa na maisha yake yupo tuu ila yy binafsi anajua muda wowote mola anaweza fanga yake
Wakati sakata la spika na CAG likichukua sura mpya,viongozi wa dini nao hawapo nyuma kukemea.
Viongozi wa dini ya kiislamu wameonyesha kuudhika na mwenendo wa spika na kutilia mashaka kwamba upo uwekezekano Spika akawa na ajenda binafsi kwa CAG Mussa Assad.
Kiongozi huyo amesema iko wazi kabisa sisi binadamu tuna madhaifu na mapungufu. Ni Mungu pekee asiye na mapungufu. Sasa iweje Spika ajione kwamba bunge lake halina udhaifu na kujifananisha na Mungu.
Mkulu alikuwa anasikilizia upepo unakoelekea ..... Sasa kwa kuwa amejua ni wapi unakoelekea ni obvious anamwachia Ndugai Zigo lake ingawa ni yeye ndiye aliyembebesha nyuma ya pazia!!
No wonder yule bwana anapata shida sana kulitamka hili neno ... "ENTREPRENEURSHIP".Amekwenda mbali na kusema ule mradi wa MAGUFULI wa kuuza NYUMBA ZA SERIKALI ni mfano wa "POLITICAL ENTREPRENEURSHIP."
Wakati sakata la spika na CAG likichukua sura mpya,viongozi wa dini nao hawapo nyuma kukemea.
Viongozi wa dini ya kiislamu wameonyesha kuudhika na mwenendo wa spika na kutilia mashaka kwamba upo uwekezekano Spika akawa na ajenda binafsi kwa CAG Mussa Assad.
Kiongozi huyo amesema iko wazi kabisa sisi binadamu tuna madhaifu na mapungufu. Ni Mungu pekee asiye na mapungufu. Sasa iweje Spika ajione kwamba bunge lake halina udhaifu na kujifananisha na Mungu.
Nadhani haujaelewa statement yangu nimesema "Ugomvi kati ya....na..." Sijasema kwamba Mussa ni mgomvimkuu acha kumuonea Mussa, mh. Ndu Gay ndio mgomvi!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kweli hakuna cha kuwafanyaMimi naona Spika kwenye hili hayupo peke yake,Mkuu baba mwenye nyumba yupo na Spika(ukiona kifaranga kipo juu ya mtungi ujue mama yake yupo hapo chini)Spika katumwa na tatizo la Prof Assad ni kuibua matumizi yasiyofuata kanuni na taratibu kwa mujibu wa sheria(PPRA).Bunge ni muhimili na CAG ni taasisi ya serikali,Rais kama mkuu wa serikali alipaswa kuwa na CAG,Wako wapi mawaziri ?Nao kama wakilishi wa Muhimili nao wanagoma kufanya kazi na Pro ???.Ndugai anasema Assad anampa wakati mgumu rais !!ni kwa Kuibua yasiyoyapenda? au ?.Wito tusimame na CAG yeye yupo kwa kusimamia kodi zetu,ingawaje hatuna cha kuwafanya ila angalau tunajua jinsi wanavyozitumia kodi zetu,Bunge limebaki kuwa raba stempu kualalisha ufisadi........MUNGU MJALIE AFYA NJEMA,UJASIRI NA HEKIMA CAG
Kila jambo lina wakati wakeHuyo shekhe ni Mnafiki, Nchi ina matatizo mengi watu wamepotezwa, kupigwa risasi kwa mh.Lissu hili la pro. Assad kwao ni tatizo kuliko yote yaliyo tokea. Siku zote walikuwa wapi?